Twisti

Yea ah
Zilizopendwa yea ah
Mziki ya lunch time
Mziki yetu ani
Mziki Nene
EH twende!

Me huskiza mziki za mabudaa na Mashujaa
Za ma guitar na matarumbeta
Me huskiza mziki ngori ngori zilipendwa
Ka Kabaka twisti me hucheza
Fiti me hukaba
Niko 60 ninahanya
Na wasupa wanakatwa
Na kitambi wanadara
Stingo ngori lava lava
Meno bado iko
Navunja mifupa
Abdalla bado simama kidete te te Tete

Africa yetu yote inapenda Twisti
Africa yetu yote inacheza Twisti
Africa yetu yote inapenda Twisti
Africa yetu yote inacheza Twisti iiiii
Africa yetu yote inapenda Twisti
Africa yetu yote inacheza Twisti
Africa yetu yote inapenda Twisti
Africa yetu yote inacheza Twisti iiiii
...



Credits
Writer(s): Phinoshey Elber Sr Meso
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link