Jiandae

Mhm
Iyi dunia si yakwetu
Sote tutapita ahh
Na mali zake zote
Ni ubatilivyote
Tuta acha ahh
Enyi wa christo
Ni vema tujiandae eh
Tusi chelewe tusije ku jutiya

Ni uzuni ndugu yangu
Usipo ingiya mbinguni

Wa waza nini kwajili
Ya maisha yako
Iyi dunia mbona nimapito
Unatenda dhambi
Tena kwa kusudi
Una sahau kama mungu yupo
Majivuno ya nini ndugu eh
Maisha aya mbona ni mafupi
Punde tu mbona tuta iacha
Ayo matendo na yatakufata
Enyi wa baba na wa mama (jiadhari)
Enyi wa kaka na wa dada (usijute)
Enyi wazee na vijana (jiandae)
Muda una kwenda ah

Ni uzuni ndugu yangu
Usipo ingiya mbinguni

Ujiandae Ujiandae
Ujiandae (jiandae)
Ujiandae (Siku zina kwenda)
Ujiandae (ujiandae)
Ujiandae (siku zina kwenda ah)
Ah ah ah siku zina kwenda Ah
Ah ah ah naona uruma ah

Ujiandae Ujiandae eh



Credits
Writer(s): Trey Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link