Na Imani (feat. Webi)
Some days I wanna let it go
And I give it up
Coz I really just don't know
Na imani na imani
Other days I really don't know
What future's gonna come around for sure
Na imani
Can't talk about race bila mse kushoot gun
Wanataka fire blaze na Australia iliburn
Tension escalating kama States na Iran
Binadamu anajiseti alafu ana blame saitan
Jarida limetoka na si nima reporter
Mziki ikigonga hakunanga vidonda
Wanatry kutukoroga wanafly helicopter
Depression ikitubonda wanadai ni disorder
Shhhh (NKT)
Tunabonga tuskike
Weka pressure kwa magoti moyo wangu uridhike
Unapozuru wengine ninaomba usipite
Tukipatana Baba taji univishe
Ninadudu kwa kila beat
Vuruga ki killer bee
My Method is iller G
Inspekta the trigger see
Ni Genius si wizardry
A Chef with the Cuban Link
Shimmy Shimmy Ya Shimmy yam pedigree
Some days I wanna let it go
And I give it up coz I really just don't know
Other days I really don't know
What future's gonna come around for sure yeah
Nikiwa gizani
Na imani, na imani
Ingawa sioni
Na imani, na imani
Nikipitia jangwani
Na imani, na imani
Mlinzi yu nami
Na imani na imani
Ni ngumu kuji resuscitate
Utakufa na rejection juu
Unataka kila wakati wakuvalidate
Integrity is a quiet place
Hakuna celebration sauti flani
Wametry kuzi eradicate
Walitu hypnotize, bado tunarise
Ki Maya Angelou mziki from the sunken place
Photosynthesize, madini crystallize
We shed the light giza inapo jielevate
5 stones mfukoni I'm a little Davy
Tight flow ufuoni I'm a little wavy
Avocado in my diet I'm a little heavy
Upstairs bila pilot I'm a little crazy
Mbegu za Anga Banga
Kalamashaka
Mixture ya Bruce Banner, Dalai Lama, Saitama
Niko chini ya Mwamba
Thitima kama Blanka
Tunalipua kipaza ki Hector Salamanca
Some days I wanna let it go
And I give it up coz I really just don't know
Other days I really don't know
What future's gonna come around for sure (Yeah)
Nikiwa gizani
Na imani, na imani
Ingawa sioni
Na imani, na imani
Nikipitia jangwani
Na imani, na imani
Mlinzi yu nami
Na imani na imani
Nikiwa gizani
Na imani, na imani
Ingawa sioni
Na imani, na imani
Nikipitia jangwani
Na imani, na imani
Mlinzi yu nami
Na imani na imani
And I give it up
Coz I really just don't know
Na imani na imani
Other days I really don't know
What future's gonna come around for sure
Na imani
Can't talk about race bila mse kushoot gun
Wanataka fire blaze na Australia iliburn
Tension escalating kama States na Iran
Binadamu anajiseti alafu ana blame saitan
Jarida limetoka na si nima reporter
Mziki ikigonga hakunanga vidonda
Wanatry kutukoroga wanafly helicopter
Depression ikitubonda wanadai ni disorder
Shhhh (NKT)
Tunabonga tuskike
Weka pressure kwa magoti moyo wangu uridhike
Unapozuru wengine ninaomba usipite
Tukipatana Baba taji univishe
Ninadudu kwa kila beat
Vuruga ki killer bee
My Method is iller G
Inspekta the trigger see
Ni Genius si wizardry
A Chef with the Cuban Link
Shimmy Shimmy Ya Shimmy yam pedigree
Some days I wanna let it go
And I give it up coz I really just don't know
Other days I really don't know
What future's gonna come around for sure yeah
Nikiwa gizani
Na imani, na imani
Ingawa sioni
Na imani, na imani
Nikipitia jangwani
Na imani, na imani
Mlinzi yu nami
Na imani na imani
Ni ngumu kuji resuscitate
Utakufa na rejection juu
Unataka kila wakati wakuvalidate
Integrity is a quiet place
Hakuna celebration sauti flani
Wametry kuzi eradicate
Walitu hypnotize, bado tunarise
Ki Maya Angelou mziki from the sunken place
Photosynthesize, madini crystallize
We shed the light giza inapo jielevate
5 stones mfukoni I'm a little Davy
Tight flow ufuoni I'm a little wavy
Avocado in my diet I'm a little heavy
Upstairs bila pilot I'm a little crazy
Mbegu za Anga Banga
Kalamashaka
Mixture ya Bruce Banner, Dalai Lama, Saitama
Niko chini ya Mwamba
Thitima kama Blanka
Tunalipua kipaza ki Hector Salamanca
Some days I wanna let it go
And I give it up coz I really just don't know
Other days I really don't know
What future's gonna come around for sure (Yeah)
Nikiwa gizani
Na imani, na imani
Ingawa sioni
Na imani, na imani
Nikipitia jangwani
Na imani, na imani
Mlinzi yu nami
Na imani na imani
Nikiwa gizani
Na imani, na imani
Ingawa sioni
Na imani, na imani
Nikipitia jangwani
Na imani, na imani
Mlinzi yu nami
Na imani na imani
Credits
Writer(s): William Gachihi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.