Washa Kitu (feat. Mercury)

Washa kitu
Washa kitu manze
Washa kitu
Washa kitu manze
Tunajipuliza puliza
Si tunajipuliza
Puliza puliza
Si tunajipuliza
Tunajipuliza puliza
Si tunajipuliza
Puliza puliza
Si tunajipuliza

Ukinicheki cheki mi studio utanipata
Just feeling the vibe nikisahau disaster yeah
Nikiroll kitu no bush hapa ni shasha
Hebu nipe sanda na utayarishe kilighter yeah
Skankin sweet
We kula kitu weka kando shida zako zote za siku jah
Feel aire
Tembeza kitu weka bundle we skizia mziki mzuri jah
Kula weed si lazima uwe natti
Jani dawa nzuri sio mihadarati
Cancer ukitafuta kwangu huipati
Vile zimeshika zimecatchy catchy
Kula weed si lazima uwe natti
Jani dawa nzuri sio mihadarati
Cancer ukitafuta kwangu huipati
Vile zimeshika zimecatchy catchy

Washa kitu
Washa kitu manze
Washa kitu
Washa kitu manze
Tunajipuliza puliza
Si tunajipuliza
Puliza puliza
Si tunajipuliza
Tunajipuliza puliza
Si tunajipuliza
Puliza puliza
Si tunajipuliza

Cannabis sativa
Cheki jicho nyanya limeiva
Kula ngwelo vela kula weeda
Steam kama fever
Moshi ju ya hewa ni ya ngida
Bila shakes form ni mambichwa
Hapa fully shashamane kama nyaru du
Shada kwa mabraza na masistadoo
Ka we ni ganja man hapa ni moshi tu
Ukishikwa na mamunchies kula mawaruu
Kula weed si lazima uwe natti
Jani dawa nzuri sio mihadarati
Cancer ukitafuta kwangu huipati
Vile zimeshika zimecatchy catchy
Kula weed si lazima uwe natti
Jani dawa nzuri sio mihadarati
Cancer ukitafuta kwangu huipati
Vile zimeshika zimecatchy catchy

Washa kitu
Washa kitu manze
Washa kitu
Washa kitu manze
Tunajipuliza puliza
Si tunajipuliza
Puliza puliza
Si tunajipuliza
Tunajipuliza puliza
Si tunajipuliza
Puliza puliza
Si tunajipuliza



Credits
Writer(s): Iddi Hemed
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link