Mama

Dedicated to mama Africa
Dezman and Richard black
Back again
Jay P production

Myezi tisa tumboni mwako
Nikiwaza gisi ulipo nizaaa
Njia yote ulio pita
Mateso masumbuko ajili yangu
Kweli leo mimi ninaleta
Kizazi cako wape ushindi
Kama wewe ndie wangu

Wewe
Wewe ndie maisha yangu
Wewe
Wewe ndie mulinzi wangu
Wewe
Wewe ndie mupenzi wangu
Wewe
Wewe wewe mamaa
Wewe wewe mamaa
Wewe wewe mamaa aah

Dunia muzima nimefika
Sikuoana Mtu kama wewe
Kwa kunipa eshima na upendo
Kwa kukaa pamoja na bina damu
Kweli leo mimi ninaleta
Kizazi cako wape ushindi
Kama wewe ndie wangu
Wewe
Wewe ndie maisha yangu
Wewe
Wewe ndie mulinzi wangu
Wewe
Wewe ndie mupenzi wangu
Wewe
Wewe wewe mamaa
Wewe wewe mamaa
Wewe wewe mamaa aah

Wakati wa njaaa wanipa cakula
Wakati wa ugonjwa wanitunzaa
Wanivika wanipa elimu
Sasa leo mimi mshujaaaa
Kweli leo mimi ninaleta
Kizazi cako wape ushindi
Kama wewe ndie wangu

Wewe
Wewe ndie maisha yangu
Wewe
Wewe ndie mulinzi wangu
Wewe
Wewe ndie mupenzi wangu
Wewe
Wewe wewe mamaa
Wewe wewe mamaa
Wewe wewe mamaa aah
Wewe
Wewe ndie maisha yangu
Wewe
Wewe ndie mulinzi wangu
Wewe
Wewe ndie mupenzi wangu
Wewe
Wewe wewe mamaa
Wewe wewe mamaa
Wewe wewe mamaa aah



Credits
Writer(s): Christian Shema
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link