Chombeza

Twafanana
Mora kabariki yako tabia
Tunaendana Kama we kilevi kwangu ni bia

Nikoleze ninogeshe mi nipagawe
Nipe vya moto moto mi nilowe
Kitandani kwachu kwachu tu mi nawe

Ooh yeah yeah, ooh yeah yeah
Mi ni mvumilivu baby Nakula ninachojionea
Nikipendaga sibagui Nakula hata kibamia

Chombeza, chombeza Umenipa penzi chombeza Oooh
Utasemwa mengi Na washakunaku usijali wakiongea
Hawapendi page za udaku ndo zao potezea

Juzi marafiki zako nilikuta wanachamba chamba
Ati unanuka jasho nawezaje kukulamba lamba
Tena wakatosha vihoja we ndo bingwa wa kudanga

Yaani namba moja wajulikana viwanja Ati wanasema kicheche,
Hunifai umezoa mkweche Sasa nipe ukwadu ukwadu Chombeza
Mi ndo ukwaju ukwaju Chombeza

Sasambua sambu sambu Chombeza Uno gwaju gwaju
Chombeza, chombeza Umenipa penzi chombeza Chombeza, chombeza

Umenipa penzi chombeza Nipe jo jo jo Chombeza Nataka kuchojo
Chombeza Aya prokoto Chombeza
Simamishe jogoo Ooh basi nichombeze

Chombeza Isimame dedede Chombeza
Ongeza madegeje Chombeza Nichomeke jegeje Nichombeze



Credits
Writer(s): Keveni Venice
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link