Ma Opps
Hakuna maform but Guga's keeping busy
Hata hakuna time ya kucheki maseries
Akifika tu kejani inageuka ofisi
Mpaka ye sometimes hukasirisha Mrs
Ma hata kama ye humind anajua inabidi
Coz kazi ya mkwanja hatuletangi feelings
Lakini cheza na mkwanja unaokotwa beating
Coz kazi ya mkwanja huletanga feelings
Ma ops wanyongwe na pilipili
Ma boss wakule washibe fiti
Competition wakuje ka wametizi
On a mission siendani na upuzi
Ma ops wanyongwe na pilipili
Ni majokes wakijicompare na mimi
Competition wakuje ka wametizi
On a mission siendani na upuzi
Ma opps wanajuana na ujinga
Na mabazenga tunajuana kwa vilemba
Nilisikia kenye hater alisema nikajua ni KUBAFFU anatry kusound clever
Na hata wakinitega na nidunde naamka drip safi wanabaki wamekemba
Wakitry kunichomea zima moto wakifika kwa keja ni vela inateketea
Soooo...
Ma ops wanyongwe na pilipili
Ma boss wakule washibe fiti
Competition wakuje ka wametizi
On a mission siendani na upuzi
Ma ops wanyongwe na pilipili
Ni majokes wakijicompare na mimi
Competition wakuje ka wametizi
On a mission siendani na upuzi
Attacks zao zitabackfire ka breath mbaya ndani ya mask
Naadmire competition yangu kwa kioo kila saa
Nacommand mad respect from magoonies na maras
Tuko project chapa wera toka dawn hadi dusk
Nimekunywa tu mapeng wenye walikuwa macrush na tukihang mara kadhaa si Surprising wao huget attached
Critics wakidai huyu kijana amerust serial killer ndani ya booth flag zifly half mast
Jeff bezos ndio mindset ya mental
Biashara Kuijienga ni ka legos
My queen hachafuangi stilletos
Baby seti hiyo haga ndani ya benzo
Na nimechoka na keja za rental
Coz landloard plus padlock equals tension
Na nikitry kuepuka mateso hope kesho hii effort itaweza kupay off
Hakuna maform but Guga's keeping busy
Hata hakuna time ya kucheki maseries
Akifika tu kejani inageuka ofisi
Mpaka ye sometimes hukasirisha Mrs
Na hata kama ye humind anajua inabidi

Credits
Writer(s): Guga Egara
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.