Hands Up (feat. Maua Sama)
Najua kuna watu inawatoa kwenye mood
Kuona nafanya vitu And they told me that I could
They told me that I lost my way nimeshaboo
Na nimefika sehemu ingekuwaje
ningerudi
Cheki news ukienda mtaani watu commenti
Darassa mtu mbaya kanyaga anaacha damage
Watu wanahitaji mziki una energy
Kinywaji cha kuburudisha na unapata knowledge
Mziki una visa kama ndoa ya mgumba Kama
una moyo mdogo unaweza ukakuvunja vunja
Nakula yangu usiku mchana Mungu ananichunga
Hata singekuwa hii fani bado ungesakata rhumba
Street hubishi,
kwani vipi hunitishi Push mpaka maandishi, mwisho wa movie mazishi
Get rich or die trying what you wanna make a wish
Mchawi anachezesha dishi bado vita na wanafiki
Sata chaji kwenye moyo kupata ganzi
Kuishi na binadamu tu yenywewe ni kazi
Sijui ingekuwaje kama singecheza smart
This mothefcker life I've been so much yoh
Walisema I'm just wasting my time Wakasema I'm gonna loose my mind
Hawakujua nakokwenda, kufanya nachopenda
I don't stop till I die
And if you feel what I feel, put your hands up
Uko juu, uli kwa chini, put your hands up
Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda
Don't stop eh eh eh
And if you feel what I feel, put your hands up
Uko juu, uli kwa chini, put your hands up
Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda
Don't stop eh eh eh
Mama ananipenda, mama ananicare Alianza kunibeba akanifunza kutembea
Unajua nakotokea? Hujui potea Heka heka kila siku mtu ampigie
Every now day ni macho yangu au am confused Niseme uwashe TV
nione kitu naona makuzi Kwenye
radio hakuna nyimbo watu wanapiga miluzi
Hakuna habari
Wengine wanabweka bweka
Kumbemikwa ana mbuzi
It's enough kaa kwenye line yako bana tafadhali
Hebu hebu huku usije wengu wengu
Ukanitia uvengu vengu
Na wenzako mnataniana mkaleteana ukibwendu
Nini nini maana eeh eeh nini hembu
Mpelekee mashuzi mtu aliyekulisha ndengu
Chimbu chimbu na madini chimbua
Mi mwenye kipindupindu ukipinda napindua
Napindua, napindua
Walisema I'm just wasting my time Wakasema I'm gonna
loose my mind Hawakujua nakokwenda, kufanya nachopenda
I don't stop till I die
And if you feel what I feel, put your hands up
Uko juu, uli kwa chini, put your hands up
Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda Don't stop eh eh eh
And if you feel what I feel, put your hands up Uko juu,
uli kwa chini,
put your hands Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda up

Credits
Writer(s): Sweetbeth Mwinula, Ramadhani Thabit Shariff, Remy Mushi, Maua Sama
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
- Proud Of You (feat. Alikiba)
- Waiter (feat. Mr. Burudani)
- Umeniroga (feat. Kassim Mganga)
- Nimetumwa Pesa (feat. Bill Nas & Ben Pol)
- Loyalty (feat. Marioo & Nandy)
- Size Yao (feat. Dogo Janja)
- Usiniletee shida (feat. Femi One)
- Blessings (feat. Abbah & Mr. T Touch)
- Love Is Free (feat. Winy)
- Hands Up (feat. Maua Sama)
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.