Naomba

Naomba, unifungue macho nione
Siwezi pekee yangu
Naomba, unifungue macho nione
Nimalize mwendo salama

Leo Sina kesho ntafanikiwa
Baba nifundishe kukutegemea
Yote itakua sawa, nina imani kwako
Nifunzee kukutegemea

Wakati Sina najua unaonanga
Umenishikilia Kama siri
Wakati Sina wewe ndio provider
Umenishikilia Kama siri

Naomba, unifungue macho nione
Siwezi pekee yangu
Naomba, unifungue macho nione
Nimalize mwendo salama

Baba baba, nifungue macho ee
Baba baba, nifungue macho ee
Baba baba, nifungue macho ee
Ooh, nimalize mwendo salama

Hakuna Raha Tena, Imani imefifia
Najua unasikia kilio chetu
Nimkimbilie Nani? nimlilie Nani? Nimtegemee Nani? Kama si' weeeeh

Wakati Sina najua unaonanga
Umenishikilia Kama siri
Wakati Sina wewe ndio provider
Umenishikilia Kama siri

Naomba, unifungue macho nione
Siwezi pekee yangu
Naomba, unifungue macho nione
Nimalize mwendo salama

Baba baba, nifungue macho ee
Baba baba, nifungue macho ee
Baba baba, nifungue macho ee
Ooh, nimalize mwendo salama

Baba baba, nifungue macho ee
Baba baba, nifungue macho ee
Baba baba, nifungue macho ee
Ooh, nimalize mwendo salama



Credits
Writer(s): Brandon Israel
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link