African Lady
Maneno hayawezi elezea
Ninavyo kupenda
Umejaa moyoni
Wewe ni zawadi yangu
Kutoka mbinguni
Najivunia
Upendo wako kwangu ni thabiti
Mapenzi yako mizani haipimi
Malezi yako hayalinganishwi
Mama
Upendo wako kwangu ni thabiti
Mapenzi yako mizani haipimi
Malezi yako hayalinganishwi
Mama
Ni nani kama Mama
Hakuna kama Mama
Hakuna kama Mama (Yeah)
She's an african lady
(Mama mama)
My precious blessing
(Mungu akubariki eh)
You are my one and only (Ooh ooh uooh)
(Mama mama)
My special blessing
(Mungu akubariki eh)
Every time
I went wrong
You taught me to do right
You taught me to pray
You taught me to be kind
Kuishi na jamii
Yote ni malezi yako
Upendo wa mama ni kama kisiwa
Kwenye bahari ya maisha
Amani hupatikana pale
Utulivu hupatikana pale
Upendo wa mama ni kama mnara
Kwenye umati
Tabasamu lake kama jua
Kuchomoza
Kupambazuka
Oh yeeiiy hooh oh oh
She's an african lady
(Mama mama)
My precious blessing
(Mungu akubariki eh)
You are my one and only (Ooh ooh uooh)
(Mama mama)
My special blessing
(Mungu akubariki eh)
Ninavyo kupenda
Umejaa moyoni
Wewe ni zawadi yangu
Kutoka mbinguni
Najivunia
Upendo wako kwangu ni thabiti
Mapenzi yako mizani haipimi
Malezi yako hayalinganishwi
Mama
Upendo wako kwangu ni thabiti
Mapenzi yako mizani haipimi
Malezi yako hayalinganishwi
Mama
Ni nani kama Mama
Hakuna kama Mama
Hakuna kama Mama (Yeah)
She's an african lady
(Mama mama)
My precious blessing
(Mungu akubariki eh)
You are my one and only (Ooh ooh uooh)
(Mama mama)
My special blessing
(Mungu akubariki eh)
Every time
I went wrong
You taught me to do right
You taught me to pray
You taught me to be kind
Kuishi na jamii
Yote ni malezi yako
Upendo wa mama ni kama kisiwa
Kwenye bahari ya maisha
Amani hupatikana pale
Utulivu hupatikana pale
Upendo wa mama ni kama mnara
Kwenye umati
Tabasamu lake kama jua
Kuchomoza
Kupambazuka
Oh yeeiiy hooh oh oh
She's an african lady
(Mama mama)
My precious blessing
(Mungu akubariki eh)
You are my one and only (Ooh ooh uooh)
(Mama mama)
My special blessing
(Mungu akubariki eh)
Credits
Writer(s): Kevin Kajege
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.