Ushamba
Konde Boy
Weeeeeh
Huo ni ushamba huo ni, weeh, huo ni ushamba huo ni, weeh
Huo ni ushamba huo ni, eeeh huo ni ushamba
Pesa ya kulipa gesti unayo, eeeh
Nyumbani familia inapiga miyayo, eeeh
Mmh yanafurahisha ufanyayo, eeeh huo ni ushamba
Inaboa kudadadeki, dereva wa Uber hataki ku-over take-i
Eti kisa pesa haiongezeki, eeeh huo ni ushamba
Yupo kitandani kajilegeza, eeh
Mi nimeshapaka vya kuteleza, eeh
Eti bebi leo simba wanacheza, eeeh huo ni ushamba
Husband material kutwa unalike picha za makalio
Vya wenzako usijipe matamanio, eeh huo ni ushamba
Ashura wa mbagala huna pakula pakulala
Comment-i ndefu picha za kajala huo tunaita, eeeh huo ni ushamba
Huo ni ushamba huo ni, huo ni ushamba huo ni

Mmmh malejendi si wamerudisha vita
Wanahofia eti jeshi anawapita
Bila sababu wananikunjia ndita, eeeh huo ni ushamba
Limechoka acha nilikalagaze halina meno ilo simba ze
Likila demu lazima litangaze
Huo tunaita, eeeh huo ni ushamba
Hivi dunia ndo ipo kikomo eeh maana hadi waganga wanapiga promo
Hadi insta eeh wana page za kujipigia domo, eeeh huo ni ushamba
Amepanga chumba huko vingunguti yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti
Mmh vipi akikupiga kibuti? Eeeh huo ni ushamba
Aaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara
Eeeh huo ni ushamba

Kaja na vumbi uso umefuba
Anadai kapaka powder, eeh kaniomba nauli ya Uber
Eeeh yule namuona kapanda boda, eeeh huo ni ushamba
Vitu vingine haviji na ubongo, eeh, punguzeni sifa wana sio mchongo, eeh
Demu humjui unampakia mkongoo, eeeh huoni ushamba
Yeye ndo kalewa kuliko wote anaimba nakucheza ngoma zote
Wakati wakulipa bili sina chochote, eeh huo ni ushamba
Meno yote nje anachekelea ahsante baby nimepokea
Hasa mbona haujatuma na yakutoleaa, eeeh huo ni ushamba
Kumepambazuka alfajiri tupo club wana anasema subiri
Yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah, eeeh huoni ushambaa
Tunaishi kwa nyumba ya kupanga mwenzetu unatuletea mganga
Unataka wote tuonekane wanga huo tunaita, eeeh huo ni ushamba

Hehehehee hasa, kama-kama kama-kama tumekutana mchana unasema haujala
Heheheee asubuhi si ungeniomba mswaki weeh hehehe hahaha hahahaha

Huo ni ushamba huo ni, huo ni ushamba
They call me Konde Boy number one, jeshi

Credits
Writer(s): Rajabu Ibrahim
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.