Acha Waseme

Kama riziki unatoa, basi ntakosa
Ila kama ni mola lazima ntapata
Ila kama ni mola lazima ntapata
Bwana Shetani muongo, muongo we!
Mbona umejawa na kinyongo ndugu we!
Mbona umejawa na kinyongo ndugu we
Bwana niambie wapi nilipokuudhi naomba uniambie
Mana sio sawa kama we wanichukia
Nia njema nlio nayo kwako ndo mafanikio Yangu
wakati mimi nakuombea mema, waniwazia mbaya ooh sio sawa
Ooh so sawa
Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu
Ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu
Acha waseme, Acha waonge
Acha waseme, Acha waonge

Wewe unanichukuia ata zaidi unavojipenda
Unafikiri nafikiri unavyofikiria mana nia zako sio njema
Chochote nachofanya unanielewa makosa
Lolote nachofanya unanihukumu vibaya
Wapi nilipokukosea ningependa unieleze
Wapi nilipokuudhi ningependa uniambie
Maana sio sawa kama wewe wanichukia
Nia ooh njema nlio nayo kwako ndio mafanikio yangu
Wakati mimi nakuombea meme
Waniwazia mabaya ooh so sawa

Ooh dhamira yangu, ndo nguzo yangu
Ooh wema Wangu ndo nguzo yangu
Ooh wema Wangu ndo nguzo yangu

Acha waseme, acha waongee
Acha waseme, acha waongee
Acha waseme, acha waongee
Acha waseme, acha waongee



Credits
Writer(s): Jacob Obunga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link