Tetema

Aya twende, tetema
(Oh, mama, tetema)
Tipwa tipwa, tetema
(Oh, mama, tetema)
Aya twende, tetema
(Oh, mama, tetema)
Shuka chini tetema
(Oh, mama, tetema)

(It's s2kizzy, baby)

Eh, tetema yani kama umepigwa shoti
Tetema nipe migandisho ya roboti
Tetema ukutani hadi kwenye kochi
Tetema kwenye giza mama shika pochi

Katoto kamenoga
(Oh, mama)
Nakapa ndizi za Bukoba
(Oh, mama)
Nakapadisha bodaboda
(Oh, mama)
Kakichoka kuchuma mboga
(Oh, mama)

Aii mama shigidi, aah
Nakufa hoi wikidi, aah
Aii mama shigidi
Konki, fire, moto, liquidi

Aya twende, tetema
(Oh, mama, tetema)
Tipwa tipwa, tetema
(Oh, mama, tetema)

Aya twende, tetema
(Oh, mama, tetema)
Shuka chini, tetema
(Oh, mama, tetema)

Aya twende, tetema
(Oh, mama, tetema)
Tipwa tipwa, tetema
(Oh, mama, tetema)

Aya twende, tetema
(Oh, mama, tetema)
Shuka chini tetema
(Oh, mama, tetema)

Tetema
Yani kama vile generator
(Tetema)
Kama mwizi kakupiga ngeta
(Tetema)
Mwendo wa kutunga kupepeta
(Tetema)
Chini nikipuliza tarumbeta

Asa whozi dozi
Cheza shogoloza
Kufa chali kama mende
Maria Roza poza tungi limepoza
Twende nikupige nyembe

(Brrr, okay)
You make my mind go kolo
(Kolo, kolo)
Ukinuna tu mie doro
(Doro, doro)
(Washa)

Saa nipe za digidigi
(Washa)
Miuno ya gigi gigi
(Washa)
Funga kibindo mkwiji kwiji
(Washa)
Nikunyonge ka zigi zigi
Tete...

(Oh, mama, tetema)
Tipwa tipwa, tetema
(Oh, mama, tetema)

Aya twende tetema
(Oh, mama, tetema)
Shuka chini tetema
(Oh, mama, tetema)

Aya twende, tetema
(Oh, mama, tetema)
Tipwa tipwa, tetema
(Oh, mama, tetema)

Aya twende, tetema
(Oh, mama, tetema)
Shuka chini, tetema
(Oh, mama, tetema)

Ayo Lizer
(Chii)

Kichaa kime-kime-kimepanda
Amewehuka
(Kime-kimempanda)
Kapandisha mizuka
(Kime-kimempanda)
Ana ruka ruka
(Kime-kimempanda)

Kichaa kime-kime-kimempanda
Kapanda juu ya meza
(Kime-kimempanda)
Eti anavua shati
(Kime-kimempanda)
Kalewa anacheza
(Kime-kimempanda)
Yani varangati

(Wasafi)



Credits
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Raymond Shaban Mwakyusa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link