Nicas

Yeah The Rap Benedict
Heeh heehh
My Name is Nicas

Yeah
Naitwa Nicas Marwa John Machuche
Legendary wa rap game bisha ufe
Rap ingekuwa siasa, ningekuwa Kingunge
Open mic, nipe kinasa nigga niwafunze
Kwa uweza wa mwenyezi 1989
Nilizaliwa mimi, what about you nigga
Nime hustle sana, enzi ya sauti ya jogoo
Mmechelewa, mmenielewa wakati nishakuwa play boy
They make noise kwa stage, senseless
Drama la Mocking bird, real head ache
Wengi wenu mlisema nifanye pure, real, hard core
Industry nidominate
Nilipofanya mkasema nakaza sana, natafuta kiki
Real maaa wana complicate
Hakika nasema sihusiki nao, wakijihusisha nami nawatupa tu kwa toilet
Nimeshawaka na kuzima sio rahisi
Namulika kama mwanga wakiwanga it's too late
Nimeshawaka na kuzima sio rahisi
Namulika kama mwanga wakiwanga it's too late

My name is Nicas Marwa John Machuche, that's my real name
Yeah, Nikki Mbishi Zohan sauti ya jogoo, that's my big blame
My name is Nicas Marwa John Machuche, that's my real name
Yeah, Nikki Mbishi Zohan sauti ya jogoo, that's my big blame

Wananiita mzee wa diss, kisa nawachana ukweli
Kuni diss mimi, haiwezi kuwa m'mesha feli
Alidiss P ikawa kiki, akapata reli
All eyes on me, 2pac Shakur Makaveli
Ni kweli wanatamani, iwe siku wafike hapa
Tatizo hawatambui, jinsi gani nimesota
God bless me, till last breath kwa kinasa
Mziki wangu mnene, sio wa madini ya kufoka
Wakifoka, hawadumu kwa game wanaporomoka
Alisema Fid, ni mbali sana nilipotoka
Hawaoni uzuri wangu, zaidi ya ubaya shameful
Niwafanye nini, and who can i blame to
Wengi wamefurahi, hile diss ya futi sita
Round hii sina huruma, nawashoot kwenye kichwa
Mziki wangu mnene, muulize raisi wa manzese
Ngoma zako nyingi hadithi, mtu pori ka kipepe
Kwenye trend hautembei, huko nyuma ka kiwete
Hali mpya, nguvu na kasi, nakuwa Kikwete
Straight outta gamboshi, inakutia mawenge
Ukisikia paahh, jua imekukosa kigenge

My name is Nicas Marwa John Machuche, that's my real name
Yeah, Nikki Mbishi Zohan sauti ya jogoo, that's my big blame
My name is Nicas Marwa John Machuche, that's my real name
Yeah, Nikki Mbishi Zohan sauti ya jogoo, that's my big blame

I would like to dedicate this track
To all fans of 12code and Nicas, that's my real name
And everybody in their own carrier
Don't let anybody piss off
Black Ninja, heeh heehh
Joe Kizzy, be blessed brother

Credits
Writer(s): Godfrey Milanzi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link