Kimbiliyo

Safari ya maisha ni ndefu ni kali
Kuna vikwazo tofauti njiyani hii
Ni mzigo mgumu tena ni vita
Bwana Yesu uje unishindiye
Yesu baba wa yatima
Tena mume wa wajane
Hujamalizana na miii
Kwa kunitendeya mema
Mpango wako ni murefu
Juu ya maisha yangu
Tena Yesu uko mwema
Hujashindwa kutendaa
Bwana Yesu niongoze
Niongoze njiya yako
Timiza fadhili zako
Natamani msaada
Mbele yangu ni mabonde
Pande zote ni milima
Kimbiliyo languu
Ni wewe tuuu

Nasubiri vitendo vya mapenzi yako
Kwamba ishara zakooo zanitosha
Naweza yote kwa Christo anipae nguvu
Naitaji Msaada kutoka Minguni
Yesu baba wa yatima
Tena mume wa wajane
Hujamalizana na miii
Kwa kunitendeya mema
Mpango wako ni murefu
Juu ya maisha yangu
Tena Yesu uko mwema
Hujashindwa kutendaa
Bwana Yesu niongoze
Niongoze njiya yako
Timiza fadhili zako
Natamani msaada
Mbele yangu ni mabonde
Pande zote ni milima
Kimbiliyo languu
Ni wewe tuuu
Yesu baba wa yatima
Tena mume wa wajane
Hujamalizana na miii
Kwa kunitendeya mema
Mpango wako ni murefu
Juu ya maisha yangu
Tena Yesu uko mwema
Hujashindwa kutendaa
Bwana Yesu niongoze
Niongoze njiya yako
Timiza fadhili zako
Natamani msaada
Mbele yangu ni mabonde
Pande zote ni milima
Kimbiliyo languu
Ni wewe tuuu

Kimbiliyo languu
Ni wewe tuuu



Credits
Writer(s): Tuyisenge Shalom
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link