Kizungumkuti

This is Barnaba classic
Mapenzi kizungumkuti
wenye upendo wanapigwa vibuti
mmmmmhhh aiyoooo aiyooooyoyoo
aiiyeee claaaasic

Moyo wangu nyamaza, si nilikwambia ukakataa
tazama unalialia na mi leso sina sasa nifanyeeje
Ah tu usiku silali
najiuliza maswali
mwenzangu anaponda raha
anabadili viwanja na bar
Aai pole pole
pole moyo wangu kwa majanga aahaa
pole moyo wangu kwa visanga
siwezi jisemea maumivu
pole moyo wangu kwa majanga aaaahh
pole moyo wangu kwa visanga
kuna muda namfungua status usiku wa manane
kisa namwangalia nikijipa moyo huenda akanipigia
lakini waapi naambulia makapi
mwenzenu naona kizungumkuti
mapenzi kizungumkuti
mapenzi shkamoo,kizungumkuti aaiyaa
mapenzi kizungumkuti
mwenzenu nimekoma, kizungumkuti
mapenzi kizungumkuti
cha mtema kuni nimekiona, kizungumkuti
mapenzi kizungumkuti
mapenzi shkamoo, shkamoo
ikifika usiku mateso
nahesabu mabati
usingizi ndo sipati
najiona sina bahati
kinyago cha mpapule
nimechonga mwenyewe chanitisha
nilipotoka nae mbali amesahau
ananiliza
aaii pole pole
pole moyo wangu kwa majanga aaaah
pole moyo wangu kwa visanga
siwezi jisemea maumivu
pole moyo wangu kwa majanga aah
pole moyo wangu kwa visanga
kuna muda namfungua status usiku wa manane
kisa namwangalia nikijipa moyo huenda akanipigia
lakini waapi naambulia makapi
mwenzenu naona kizungumkuti
mapenzi kizungumkuti
mapenzi shkamoo,kizungumkuti
mapenzi kizungumkuti
mwenzenu nimekoma, kizungumkuti
mapenzi kizungumkuti
cha mtema kuni nimekiona, kizungumkuti
mapenzi kizungumkuti
mapenzi shkamoo, shkamoo
(The mix killer)



Credits
Writer(s): Elias Barnabas
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link