Happy Birthday (feat. Mesen Selekta)

Jerry's Room
Another one
Ebebé Jamal pon de ting Yo...
Bad man, Mesen Selekta

Leo nakupost, Saa 00:01 usiku online sitoki
Na hii siku niliisubiri siongopi
Nilikesha niwe wakwanza kukuwish na viemoji
Mi amor es tu cumpleaños
Nitakuimbia happy birthday kwa piano
Champaign nitakumwagia ila Bia No
Na Pongezi kwa alie kulea my dear love
Mama kulea alikulea
Tabia unayo na ndio maana nilikuelewa
Na kama heshima kipaji basi umepewa
Nikikulinganishaga mzani unakuelemea
Sitaki kuahidi ila suprise itakuhusu
Aunywagi liqour ila leo onja kiduchu
Furaha nilio nayo haiishi hata nikikubusu
Nitakutunza maua yenye marashi na perfume
Tucheze cheze kama Tom and Jerry Cartoon
Kwako nakuwaga bwege ila wananiita baboon
Nitakumwagia vimetameta na baloons
Yale maneno ya wasengenyaji kapuni

Step step step step
Step on your brightest day
It's your birthday
Step step step step
Step on your brightest day
It's your birthday
Step step step step
Step on your brightest day
It's your birthday
Step step step step
Step on your brightest day
It's your birthday

It's your birthday
(Ooooooh.!) Go,go,go,go girl
It's your Birthday
(Eeeeeeeeh.!) Go,go,go,go
It's your birthday

Wewe ndege mi rubani
Sintobadili maamuzi hata wanishikie gun
Muite Shehe tuweke ubani
Na leo nitadhihirisha mbele ya umati kuwa we ndio mwandani
Nakuweka ndani (Nakuweka ndani)
Nakuweka ndani (Nakuweka ndani)
Nilivyopania hii siku sijui kama ulidhani
Nitahakikisha waliokung'ong'a wanapanic
Waache wakaloge kwa usinga na kaniki ehehe.! Yooh...!
Wachinje na jogoo, mungu akibariki hakuna mja ataesema no
Kuna vya uvunguni give me somemore
Kiuno kakupa mama kwa nini tumsifu somo yooh...!
Na wafunge midomo
Penzi ndio linaanza halijafika kikomo
Wasitufokee kwa matarumbeta na promo
Watuweke front page kwa magazeti na journal aaah...!
Tukiwa chumbani kama porno
Hatujirekodi Mwijaku kilanga komo aaah...!
Lokole kidomo domo
Au ya Uchebe kukutupia mikono

Step step step step
Step on your brightest day
It's your birthday
Step step step step
Step on your brightest day
It's your birthday
Step step step step
Step on your brightest day
It's your birthday
Step step step step
Step on your brightest day
It's your birthday

It's your birthday
(Ooooooh.!) Go,go,go,go Girl
It's your Birthday
(Eeeeeeeeh.!) Go,go,go,go
It's your birthday

Jiangalie
Ehehe...! Yeah...!
Ebebé Jamal pon de ting Yo...
Ts Gang



Credits
Writer(s): Abdul Mwamia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link