Yahweh

Eh, Mungu matendo yako yanishangaza
Eh, Bwana ukuu wako wanishangaza
Nikufananishe na ni Bwana wangu
Nikulinganishe na nani Bwana wangu?
Wastahili Ibada yangu Bwana

Wewe uliyeketi juu sana ninakuinua
Maana hakuna aliye kama wewe
Ninainua jina lako juu sana
Maana umetukuka Mungu wewe Mungu wee

Umeinuliwa juu ya falme zote
Matendo yako Mungu wangu yanatisha sana
Oooh, ni wewe Mungu usiyeshindwa
Ni wewe Mungu mwenye uweza

Wewe uliyeketi juu sana ninakuinua
Maana hakuna aliye kama wewe
Ninainua jina lako juu sana
Maana umetukuka Mungu wewe Mungu wee

Bwana wa Mabwana
Bwana wa Mabwana
Bwana wa Mabwana

Nikufananishe
Nikufananishe na ni Bwana wangu
Nikulinganishe na ni Bwana wangu?
Wastahili Ibada yahgu Bwana

Ninakusifu, Twakutuza
Ninakusifu, Twakutuza
Ninakusifu, Twakutuza

Yahweh, Yahweh, Yahweh
Yahweh uhimidiwe
Yahweh, Yahweh, Yahweh
Yahweh uinuliwe
Yahweh, Yahweh, Yahweh
Yahweh ubarikiwe

Ambia Yesu kwa kinywa chako
Yeye ni mwema (Ni mwema)
Ambia Yeye kwa kinywa chako
Yeye ni mwema (Ni mwema)

Jina la Yesu ni Mwamba
Jina la Yesu ni Mwamba
Jina la Yesu ni Mwamba

Yahweh, Yahweh, Yahweh
Yahweh uhimidiwe
Yahweh, Yahweh, Yahweh
Yahweh uinuliwe
Yahweh, Yahweh, Yahweh
Yahweh, ubarikiwe

Tukuza Jesus
Tukuza Jesus
Tukuza Jesus



Credits
Writer(s): Essence Of Worship
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link