Nairobi
Yo, tano nane
Kwani ni kesho?
Si kesho
Tunatake over Nairobi mzima
East, West, mpaka CBD (Uh-huh, uh-huh)
Hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene
Si ndio the trend, NTV, kwa hii game si ndio ma MVP
Na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides atry kuresist

Kwa wale hawanirecognise, uh, mi ni big boy uno
Kwa hizi sides bado unakangwa hata ka umeivisha judo
Manambling tunawaround, ni ka tunacheza Ludo
Mresh wako anaslide DM, ah, sina time ya makuro
Bro wangu alipurura stock, pia mi nikabaki nimefinesse plug
Hawa mariza wanaona wanaeza do juu wamepiga marags
Itabaki tutoke kwa ground, tuache kuitwa malocal thugs
Mahater kwendeni huko, si hufanya kitu juu ya mafans (kwenda!)
Tuko on top juu ya KICC, maops sere mzima tunawaping
Ki-PUBG au COD, battle royale kwa hizi streets
We ready to risk, hatutajibali, hatuna pupa, hatuhang na Fally
We jua hii gang ni kali, inapendwa na madem wa geti kali
Tuko strap na makoro in case hawa manambling wajigas wanadai smoke

Maziwa zetu ziko freshi ndenu, we uko na ndegi zenu imbo (kwendeni)
Utasurvive aje kwa jungle, man, na hautafuti doh
(Yo, yo)

Na ka kuna msee anabishana
Akam hizi sides atry kuresist (akam, akam)

Magoon wameivisha drill, 254 si manamba uno
Unaeza uliza namba uno
Mi nadai cash, doh, gwap, hadi maeuros
T Bop kiunknown T, man, I got gyally on me
Kwa kichwa nina maalphabet, ABCD
Stay tuned kwa hii TV, na team inashut down CBD
Na marapper wako weak kwa streets, hamkudungwa BCG

Uh, niko jo kwa scene, mikono zinarushwa right and left
Kwa street usibebwe ufala, go hard ka chain ya BMX
Big boys tunaenda viral, breaking news kwa CNN
Na ukileta ujinga kwa mbogi, unapigwa X
Mabro this life is crazy, and welcome to the city of sex
Hawa wasee wamecarry maknives, skengs, hmm, for defense (bow)
Juu gang yu hukuwanga safi usitutempt, no offense

Credits
Writer(s): Alvin Handro, Jayson Okanda, Malvin Kamwaro Irungu Nganga
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.