Acha Washangae

My romantic umeumbika
Umboo utazani malaika
Kila kona unasifikaa aaah
Uzurii wako unazidi kunitekaa
Kwako mimi mateka aah
Nikiwaa kwako naongezaa midekoo
Penzi haritabomokaa aah
Yarabiii
Kama penzii nyumba
Nitaenzekaa aah
Mangapiii
Niliyoo fanya kwako hukunichokaa

Mamy love ongeza huba kidogo
Moyo umeukumbata aah
Baby girl penzi letu siyo kisadoo
Usiee penda mikogoo ooh
ACHA WASHANGAE
Penzi tuchange karata hubba lisongoo
ACHA WASHANGAE
Penzi letu ndo darasa acha wasomee
ACHA WASHANGAE
Penzi tuchange karata hubba lisongee
ACHA WASHANGAE
Penzi letu ndo darasa acha wasome eeh
We ndo mboga Mimi ndo yako chumvi
Everytime tunaendana
Unakikosha kwa wako ujuzii
Mimi na wewe sare sare
Pongezi tele kwa wako kungwi iih
Alokufunda wewe eeh
Ukiwa mbali mimi ndo yako njozii
Daima tazikwa na wewe
Wangu kasuku uuh
Nishamutuma njiwaa apeleke barua
Tabibu uuh
Tazichanga changa nijaze kibubu uuh

Mamy love ongeza huba kidogo
Moyo umeukumbata aah
Baby girl penzi letu siyo kisadoo
Usiee penda mikogoo ooh
ACHA WASHANGAE
Penzi tuchange karata hubba lisongoo
ACHA WASHANGAE
Penzi letu ndo darasa acha wasomee
ACHA WASHANGAE
Penzi tuchange karata hubba lisongee
ACHA WASHANGAE
Penzi letu ndo darasa acha wasome eeh



Credits
Writer(s): Kedy
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link