Unitoke

Uya yaa yaah aah
Uh aaah
Uyah yaa yaah ni vibaya
Kumbato na busu ndio vyakunidanganyia
Nami niamini napendwa kwenye dunia
Nikigeuza shingo unanifikiria
Mbona nikipiga simu hutaki kupokeaga
Sina dhamana sijakuzaa
Unamaamuzi yako kumpenda kufa
Ningejaliwa mali ningekupa
Usiwaze mwengine tena unipende tu mi dada
Nimekolezana nimekolea
Nikajua moyo utatulia kwenye jamvi yeeah
Sikuja kwako mimi nije kulia
Niliona furaha dear nikaweka kambi yeeah
Nitafanya ninachoweza ili unitoke
kwenye akili yangu(na moyo wangu) unitoke
Kama muda nimeshapoteza ili unitoke
kwenye akili yangu (na moyo wangu) unitoke
Unitokeee
Siwezi kujidanganya najua wanichanganya wenzangu wamenizidi utundu
Huwa nakonda mara nyingi ukiongea nae natamani nianzishe mavurugu
Sina dhamana sijakuzaa
Unamaamuzi yako kumpenda kufa
Ningejaliwa mali ningekupa
Usiwaze mwengine tena unipende tu mi dada
Nimekolezana nimekolea
Nikajua moyo utatulia kwenye jamvi yeeah
Sikuja kwako mimi nije kulia
Niliona furaha dear nikaweka kambi yeeah
Nitafanya ninachoweza ili unitoke
kwenye akili yangu(na moyo wangu) unitoke
Kama muda nimeshapoteza ili unitoke
kwenye akili yangu (na moyo wangu) unitoke
Unitokee unitokee

Credits
Writer(s): Ibrahim Hadji Mpogole
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link