Size 8 Reborn : Umetenda

Huh-uh
Huh-uh

Yale umetenda, yashangaza Bwana we
Viumbe vyote vinaimba, utukufu wako we
Yote umenena, kweli umetenda
Bwana we ni mwema, Baba we
Yote umenena, kweli umetenda
Bwana we ni mwema, Baba we

Pokea sifa, pokea (uh-uh-uh)
Na heshima, pokea (uh-uh-uh)
Utukufu, pokea (eh-eh-eh) wastahili mwenye enzi (eeh)

Pokea sifa, pokea
Na heshima, pokea
Utukufu pokea, wastahili mwenye enzi

Pokea sifa, pokea
Na heshima, pokea (uh-uh)
Utukufu pokea, wastahili mwenye enzi

Yale umetenda, yashangaza Bwana we
Viumbe vyote vinaimba, utukufu wako we
Yote umenena, kweli umetenda
Bwana we ni mwema, Baba we
Yote umenena, kweli umetenda
Bwana we ni mwema, Baba we

Vita ulishinda, Baba
Kwa Yesu kuna raha (raha, Baba)

Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike
Duniani kama Mbinguni
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike
Duniani kama Mbinguni

Yale umetenda, yashangaza Bwana we
Viumbe vyote vinaimba, utukufu wako we
Yote umenena, kweli umetenda
Bwana we ni mwema, Baba we
Yote umenena, kweli umetenda
Bwana we ni mwema, Baba we

Yote umenena, kweli umetenda
Bwana we ni mwema, Bwana we



Credits
Writer(s): Linet Masiro Munyali
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link