Unaniskia

Nimejitolea nikuimbie
Sauti yangu baba isikie
Na moyo wangu ninaimba aa eh
Mmmh
Na jina lako litukuke
Ufalme wako baba na uje
Na moyo wangu ninaimba aaah

Ucheo huu, shukrani zangu zipokee
Sio kwa cheo mi dhamiri yangu ikamili
We mungu mkuu heshima yangu ipokee
Sina mwingine mi,ni wewe baba wa pekee

Safi kama pamba
Nia zako kwangu ziko sawa
Safi kama pamba
Nia zako kwangu ziko sawa

Unanisikia yaya batumai unanisikia baba
Na udhaifu wangu
Unanisikia yaya batumai unanisikia baba
Sauti yangu ya upole eeh
Unanisikia yaya batumai unanisikia baba
Ntumai unanisikia
Unanisikia yaya batumai unanisikia baba
Ntumai unanisikia

Kuna mda nahisi nikama mungu upo bizi ukijibu wengine
Kisa na maana nikiomba huniongeleshi ka wengine
Ama ni maombi ya kwangu huyafikiagi pengine
Ila kwa asana mimi najikanya niskikuwaze vingine

Nisi ninajua unavyo nipenda mimi
Na Zaidi sikio lako liko wazi kwangu
Ooh nisi ninajua unavyo nijali mimi
Na rahisi maombi yako machoni pako

Safi kama pamba
Nia zako kwangu ziko sawa
Safi kama pamba
Nia zako kwangu ziko sawa

Unanisikia yaya batumai unanisikia baba
Na udhaifu wangu
Unanisikia yaya batumai unanisikia baba
Sauti yangu ya upole eeh
Unanisikia yaya batumai unanisikia baba
Ntumai unanisikia
Unanisikia yaya batumai unanisikia baba
Ntumai unanisikia



Credits
Writer(s): Julius Mwanzia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link