Mama

Mama mama wanipa raha
Mama mama wanipa raha
Ananichanganya mrembo kweli tele
Urembo wake unakata kama wembe
Nisipomwona nashikwa na mawele
Nahuzunika i wanna see you baby
Mama mama wanipa raha
Mama mama wanipa raha

Never ever could get over you
I make missions just to get to you boo
If I left everything for you
Would you show me what I mean to you boo
I no longer wanna wait
Girl, you are my holiday
I no longer feel okay
Girl, you are my rainy day
Mama come let's run away
Make I love you all the way
Toxicity love and hip hop
Yosemite I bang and be gone
Proximity to me is lethal
Little shorty got me gone gone gone
Come and hang with the EA dons
Young jiminies is catching on

Ananichanganya mrembo kweli tele
Urembo wake unakata kama wembe
Nisipomwona nashikwa na mawele
Nahuzunika i wanna see you baby
Ananichanganya mrembo kweli tele
Urembo wake unakata kama wembe
Nisipomwona nashikwa na mawele
Nahuzunika i wanna see you baby

Pressure Pressure
Kwenye dance floor baby anatesa
Nikimkamata najua ntamweza
Nipe skio nikuuzie sera
Rangi ya kiafrika na sura ya picha
Kiuno yaniita
Tangaza kwenye twitter
Sitasitasita
Mimi naitika
I wanna give you my love baby
Kuja dogo dogo you got me going crazy
EA GVNG twapenda kuchachisha
Kuwakunja Kama rizzla skiza
Yule mwenye kiuno ndogo namtamani
Mami ywatoka East Africa
Namtamani
Namtamani

Ananichanganya mrembo kweli tele
Urembo wake unakata kama wembe
Nisipomwona nashikwa na mawele
Nahuzunika i wanna see you baby
Ananichanganya mrembo kweli tele
Urembo wake unakata kama wembe
Nisipomwona nashikwa na mawele
Nahuzunika i wanna see you baby



Credits
Writer(s): Bildard Omondi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link