KENYAN GOLDEN TIMES MEDLEY
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama we
Cheza kama wewe
Eeeh aaah
Niko na kitu kwa mbosho nkutolee form
Kuja na mavitu vidosho macorazon
Choche chipo mwitu na posho ina choma pork
Alafu ntakuja na chumvi na nyongi ya juzi
Leo utatoa moshi ka trolley ya msee wa smokiiiiiieeee
Nitacheza kama mimi
Alafu nkupe thru pass cheza kama lewandorskiiiiii
Ivo ndo si hucheza mjini
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama we
Eeeeh
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Kwanza vile umejibebanga
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napendaaaaaah
Dai
Mi hupenda nape
Figa fire yaani dangerous
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napendaaah
Mi hupenda
Penda na pendaa
Uhuru gardens tuko jaba
Wengine wako miti
Zetu ni ma German
Zenyu piki piki na
Leo tunaenda Canaan
Beba ziggi mingi
Ka kuna ma madam
Beba Cd mingi
Ni mimi apo backleft
Paparazzi
Wanaifanya ngumu kufanya usherati
Nakumbuka kabla nifuge manati
Nilikuwa nawakunywa na ile cologne ya versace
Leo niko out nimekuja kutesa
Kesho siko job
Nikulala fo fo fo
Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza
Ustuone hivi hivi
Tumekuja na pesaaa
Lewa
Pewa
Eeeh lewa
Eeeeh
Aaaah
We lewa
Ouuh pewa
Eeeh lewa
Ouuuuuu
Meehn uko fiti maam
Nakucheki piga luku safi Gucci gang
Wee cheza chini maaam
Unavyosonga furahisha tu mjulubeng
We mi si kama wao
Nakuzungusha na mastingo zangu kama thao
Na ma neighbour wakituskia watasema
Pekejeng jeng twende pekejeng
Msupa we jilete nikupeleke na rieng
Nikubeng beng
Twende pekejeng
Kwa kazi niko rada ata ka sina maweng
Pekejeng jeng twende pekejeng
Msupa we jilete nikupeleke na rieng
Nikubeng beng
Twende pekejeng
Kwa kazi niko rada ata ka sina maweng
Skosi uradi nipate nimechill na kabinti
Fom ni mingi hadi anashangaa na sisi
Kila siku ya wiki
Get tipsy
Na nikiget dooh nablow it all on the Whisky
Jack DJ mi na blame it on the Henny
We started out slow nilikuwa je mlevi
Isshh to crazy kukumbuka siwezi
Nilijiget home juu ya bed nimebleki
Dame mmoja wawili
Na ma Tusker ma Pilsner
Mara ya kwanza ya pili
Si ma soo ni ma ngiri
Dame mmoja wawili
Na ma Tusker ma Pilsner
Eeeeeeh
Nairobiiii
Ogopa
Hii Nairobi
Ushaniwai
Ushaniwai baby girl nakudai
Aki walae uko fine sio lie
Si unkaribie tu niseme nawe
Ukuwe mine
Wameze wembe
Sijui kwani umeniwekea tembe
Na kila siku kama sukukma na sembe
Na wanapiga domo nilimea pembe
Wacha wabonge wakibaki nyuma tuko lembe
Eeeeh
Tuko lembe
Wacha wa
Wacha wabonge wakibaki nyuma tuko lembe
Aaaah
Eeeehh
Achana nao baby wacha waseme
Tuko wawili baby mimi na wewe
Tusiachane baby mpaka milele
Mpaka milele
Achana nao baby wacha wasemeeeeh
Wacha wasemeeeeeeh
Milele
Milelee
Ndovu Kuu
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama we
Cheza kama wewe
Eeeh aaah
Niko na kitu kwa mbosho nkutolee form
Kuja na mavitu vidosho macorazon
Choche chipo mwitu na posho ina choma pork
Alafu ntakuja na chumvi na nyongi ya juzi
Leo utatoa moshi ka trolley ya msee wa smokiiiiiieeee
Nitacheza kama mimi
Alafu nkupe thru pass cheza kama lewandorskiiiiii
Ivo ndo si hucheza mjini
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Cheza kama we
Eeeeh
Cheza kama wewe
Cheza kama wewe
Kwanza vile umejibebanga
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napendaaaaaah
Dai
Mi hupenda nape
Figa fire yaani dangerous
Mi hudai mi hudai
Mi hupenda napendaaah
Mi hupenda
Penda na pendaa
Uhuru gardens tuko jaba
Wengine wako miti
Zetu ni ma German
Zenyu piki piki na
Leo tunaenda Canaan
Beba ziggi mingi
Ka kuna ma madam
Beba Cd mingi
Ni mimi apo backleft
Paparazzi
Wanaifanya ngumu kufanya usherati
Nakumbuka kabla nifuge manati
Nilikuwa nawakunywa na ile cologne ya versace
Leo niko out nimekuja kutesa
Kesho siko job
Nikulala fo fo fo
Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza
Ustuone hivi hivi
Tumekuja na pesaaa
Lewa
Pewa
Eeeh lewa
Eeeeh
Aaaah
We lewa
Ouuh pewa
Eeeh lewa
Ouuuuuu
Meehn uko fiti maam
Nakucheki piga luku safi Gucci gang
Wee cheza chini maaam
Unavyosonga furahisha tu mjulubeng
We mi si kama wao
Nakuzungusha na mastingo zangu kama thao
Na ma neighbour wakituskia watasema
Pekejeng jeng twende pekejeng
Msupa we jilete nikupeleke na rieng
Nikubeng beng
Twende pekejeng
Kwa kazi niko rada ata ka sina maweng
Pekejeng jeng twende pekejeng
Msupa we jilete nikupeleke na rieng
Nikubeng beng
Twende pekejeng
Kwa kazi niko rada ata ka sina maweng
Skosi uradi nipate nimechill na kabinti
Fom ni mingi hadi anashangaa na sisi
Kila siku ya wiki
Get tipsy
Na nikiget dooh nablow it all on the Whisky
Jack DJ mi na blame it on the Henny
We started out slow nilikuwa je mlevi
Isshh to crazy kukumbuka siwezi
Nilijiget home juu ya bed nimebleki
Dame mmoja wawili
Na ma Tusker ma Pilsner
Mara ya kwanza ya pili
Si ma soo ni ma ngiri
Dame mmoja wawili
Na ma Tusker ma Pilsner
Eeeeeeh
Nairobiiii
Ogopa
Hii Nairobi
Ushaniwai
Ushaniwai baby girl nakudai
Aki walae uko fine sio lie
Si unkaribie tu niseme nawe
Ukuwe mine
Wameze wembe
Sijui kwani umeniwekea tembe
Na kila siku kama sukukma na sembe
Na wanapiga domo nilimea pembe
Wacha wabonge wakibaki nyuma tuko lembe
Eeeeh
Tuko lembe
Wacha wa
Wacha wabonge wakibaki nyuma tuko lembe
Aaaah
Eeeehh
Achana nao baby wacha waseme
Tuko wawili baby mimi na wewe
Tusiachane baby mpaka milele
Mpaka milele
Achana nao baby wacha wasemeeeeh
Wacha wasemeeeeeeh
Milele
Milelee
Ndovu Kuu
Credits
Writer(s): Christopher Thande Githara
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.