Jinga Sana Freestyle - Kovu Challenge

Eeh, good at being bad
Menace Himself, cheki

Jinga sana acha ku kazana
Kazi ya kizazi ndio mi napendaga sana
Sitendi wema, naenda zangu bana
Teka msupeng' na umpeleke na rada
Alafu siku izi niko rieng
Kutoka nianze mboka, mfuko nina ma weng'
Na nina vifaa wenye nashindaga na beng'
Ninamaanisha mchezo ya mjulubeng'
Aah aah, na mi stambuagi cool kid
Mtaa imenilea hainaga iyo upuzi
Nyima nyemelea, tabia hiyo sijui
Orea aina hiyo ndio mi naitaga Ngui
Nammengoja hii kitu sana
Tulia uskizie Menace na club banger
Ni hivo wathii, hii namalizia hapa
Na naamini round next tuta patana
Jinga sana acha ku kazana
Kazi ya kizazi ndio mi napendaga sana
Sitendi wema, naenda zangu bana
Teka msupeng' na umpeleke na rada
Alafu siku izi niko rieng
Kutoka nianze mboka, mfuko nina ma weng'
Na nina vifaa wenye nashindaga na beng'
Ninamaanisha mchezo ya mjulubeng'



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link