Si Ya Kawaida

Nilikua wa kudharauliwa
ukanipa heshima bwana
sijui niseme nini
hakuna chochote kile
ninaweza jivunia
isipokua neema yako

nilikua wa kudharauliwa
ukanipa heshima
sijui niseme nini
hakuna chochote kile
ninaweza jivunia
isipokua neema yako

usngelikuwepo, nisingekuwepo
nisingelipata mimi, upendo kama wako

ona neema, si ya kawaida
imenitoa kwa laana
hakuna chochote
ningefanya mimi
ilinikubaliwe na mungu
damu yako, ya dhamana
imeniepusha na ugumu
rehema, upendo
zimeniwezesha kuingia kwa baba

usingelijitoa, ningekua wapi
Kwa kupigwa kwako tumepona
umebeba mateso, shida zote
msalabani, ukasema kuwa yote yamekwisha
yesuu

usngelikuwepo, nisingekuwepo
nisingelipata, upendo kama wako

Ona neema, si ya kawaida
imenitoa kwa laana
hakuna chochote
ningefanya mimi
ilinikubaliwe na mungu
damu yako, ya dhamana
imeniepusha na ugumu
rehema, upendo
zimeniwezesha kuingia kwa baba

Ona neema, si ya kawaida
imenitoa kwa laana
hakuna chochote
ningefanya mimi
ilinikubaliwe na mungu
damu yako, ya dhamana
imeniepusha na ugumu
rehema, upendo
zimeniwezesha kuingia kwa baba

Ona neema, si ya kawaida
imenitoa kwa laana
hakuna chochote
ningefanya mimi
ilinikubaliwe na mungu
damu yako, ya dhamana
imeniepusha na ugumu
rehema, upendo
zimeniwezesha kuingia kwa baba

... END



Credits
Writer(s): Marume Bayizere
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link