Umenitoa Mbali

Faraja zako, zimeniandama
Toka mwanzo
Singalifika kwa nguvu zangu
Mwenyewe
Upendo wako, nimeona
Hauna kipimo
Uwepo wako
Haubanduki milele
Umenijali, kwako ninakibali
Baba, kanihifadhi
Kaniondoa gizani
Bwana, Wanilinda mi
Umejawa na hisani sana
Nina imani, Nina imani
Kwani

Umenitoa mbali, nitoa mbali
Nitoa mbali, nashukuru
Umenitoa mbali, nitoa mbali
Nitoa mbali nashukuru

Unayeweza, umeahidi
Ushindi upo
Utatimiza, yaliyopita
Si ndwele
Kinachotatiza, najua si jambo
Kwako
Uliyoanza, utafikisha kilele
Umenijali, kwako ninakibali
Baba, kanihifadhi
Umenitoa gizani
Bwana, wanilinda mi
Umejawa na hisani sana
Nina imani, Nina imani
Kwani, kwani

'Menitoa mbali, nitoa mbali
Nitoa mbali, nashukuru
Umenitoa mbali, nitoa mbali
Nitoa mbali nashukuru

True story, true story
Every time I tell it
I'ma give you glory
Though maisha yangu
Imekuwa movie
Drama, suspense
But you are still proving
Yourself to be in control
We ni mchungaji
Mi ni kondoo
Step by step
Where I needed to go
You took care of the hustle
So mi niliflow, mi niliflow
What I needed to know
You always revealed
When I get beat down
You use it to build
Me into something more
All I'm created to be
You work it out for
Your glory and benefit me
Not deserving no
I'm not worthy
You worked it out before
You're still working
Mbali nimetoka
Mbali ninaenda yani
Nina imani, Kwani

Umenitoa mbali, nitoa mbali
Nitoa mbali, nashukuru
Umenitoa mbali, nitoa mbali
Nitoa mbali nashukuru



Credits
Writer(s): Charles Righa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link