Natesa

Bado natesa
Bado natesa eei
Nataka hiyo pesa
Ndio maana natesa buda joh
Bado natesa
Bado natesa eei
Nataka hiyo pesa
Ndio maana natesa buda joh

Studio me naroga utadhani me ni mganga
Vile mistari me nakoroga ki cocktail utaogopa
Nakuanga psycho ukinibonya sura ya kazi kwa ma informer
Kuwabonya me ni former ukijaribu nalipuka ka transformer
Ni vile tu spendi ma corner
Usjione buda umeshona
Gega nanga amebeba
Napenda vile anacheza
Na akicheza me ntasongea
Macho ka ya Teresa
Me ni nyuki naona nectar manzi yako anateta
Josephyl ameteka nakam ki undertaker
Sijakam kuwachekesha huna doh buda tembeza

Bado natesa
Bado natesa eei
Nataka hiyo pesa
Ndio maana natesa buda joh
Bado natesa
Bado natesa eei
Nataka hiyo pesa
Ndio maana natesa buda joh

Bado natesa
Bado nawekelea pressure
Ketepa kwa wingi naongeza
Silali mubaba nakesha
Nataka kadinga ni skrr skrr
Ei pull up na tesla
Sicheze na yangu
Buda nilipe wenengele mbesa
Kangemi ndio pacho
Maniggah wakijam utapigwa wacho
Manyonyo maracho madenge madingo
Watakuteki kwacho
Nare walai
Machu za leo na ni ndeng'a walai
Wanafanya Bey –T akae ka wangari mathai
Tumebarizi tupate like
Ukitukwarizi chokibiraiko
Kangemi si huketingi busy
Roka ni chizi mbogi ni psycho
Mtaa mzima wako na sisi
Back up ile design ya madisciple
Lipuka ki riffle
Roka ndio title

Bado natesa
Bado natesa eei
Nataka hiyo pesa
Ndio maana natesa buda joh
Bado natesa
Bado natesa eei
Nataka hiyo pesa
Ndio maana natesa buda joh

Ah bado natesa
Bado nauwa nanyonga na geisha
No wonder me fresher
Maisha pleasure za Keisha
Vile naomoka na mboka si story za leisure
Nipate egesa
Kisii naball busaa ongesa
Nataka hiyo pesa
Zako na zao na hadi nyongesa
Sipendi wanyama kama ni pori buda me hunyongesha
Kwani umeongeza
Na bado jirani hushinda akiteta
Dem ni fan irony na venye nilimpepeta
Eh bado mapepe mapepe wote wabebe
Bibi si bibi namchota ka bibi mkebe
Sipendi wazembe na sima kama si sembe
Mimi ni chizi shawrie akilia me humkata na wembe

Bado natesa
Bado natesa eei
Nataka hiyo pesa
Ndio maana natesa buda joh
Bado natesa
Bado natesa eei
Nataka hiyo pesa
Ndio maana natesa



Credits
Writer(s): Joseph Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link