God Given

Hii talent ni God given

Thanks to my almighty, juu I was born for this
Amekubless through your time that's why unaniskiza nikirelease
Ujumbe nafikisha, ikifika all the Glory is his
Uuyu talented scout kwake aako alert ndio aawe at ease
Bendera yake nitaraise, by kutumia hiki kipaji fullmast
So aata wewe ukianguka, look up to him and shake off the dust
Usijifunikie gubigubi na your problems, mfikishie teketeke A S A P
Aata iiwe burning issue atakushow penye utapress Kwa AC
Mwogope Hadi the deaf humskia na wale blind hum_see
Wee vipi, aliumba the land and waters na ana zote solutions
Aako always ready to listen, anytime mvutie wire sio Tu kungoja time kuna mabaya
Even at your best, jua ni yeye ha_rest
Kwake kuwa mwenyeji, for the longest time umekua guest
Na najua umemskia, once more aacha nikurecommend

Kujeni mwone uuyu mwenye, amenidecree na amenimaster
Kujeni mwone uuyu mwenye anaokoa na hakufuati kukwambia dear customer
Kujeni mwone uuyu mwenye, anakuraise anamake bills done utakosaje kumpraise

Ndie huweka sweet Melodies kila asubuhi on the beaks za birds
Amini atakupa, so iizo doubts huko mbali tupa
Hii ni testimony, ni yeye nowander I look this Super
From basic needs to zile secondary ananipa vitertiary
From days za Hustle na uuyu msupa Hadi Hidden Gems na
More to come si amekua mfaithful
Stay by him usidharau your baby steps Utapata more tools
Ni hizi small and big successes that we live for
Pray na umshukuru for life na each day atafungua a new door

Kujeni mwone uuyu mwenye, amenidecree na amenimaster
Kujeni mwone uuyu mwenye anaokoa na hakufuati kukwambia dear customer
Kujeni mwone uuyu mwenye, anakuraise anamake bills done utakosaje kumpraise

Hii talent ni God given
Thanks to my almighty, juu I was born for this
So Ombi langu
Maulana, nipe roho, niweze kuguza zingine roho



Credits
Writer(s): Stanely Kinuthia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link