Unatosha

Waa ohh oh
Yehee-ee-ee
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu

Niko mbele zako Bwana, nikikiri watosha
Amani yangu yatoka kwako
Jehova Nissi, ushindi wangu

Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu

Najua u pamoja nami, umenistawisha, ee Bwana
Kibali na upendo wako umenipa, Yehova
Umeniandalia meza mbele ya watesi wangu
Ndio maana nasema watosha

Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu
Ni wewe tu unayetosha, ni wewe tu, Mungu wangu

Uuu. . (unayetosha Baba) ... (nipiganie vita zote Bwana)...mtetezi wangu ni wewe Mungu wangu wewe
Oh Baba naomba unipe amani ya roho Bwana
Wape wanyonge Bwana amani
Bwana tetea walio wanyonge. .wasio na amani Bwana... waliokosa chakula Bwana
Wajane na mayatima Yehova
Watetee wote, tupe amani kwa sababu watosha... eeeeei
Unatosha Mungu wangu ee
Haleluya, haleluya unatosha ...ee
Unatosha ee, hakuna kama wewe Bwana
Mtetezi wangu watosha

Credits
Writer(s): Evelyn Wanjiru
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link