Muimbieni Bwana

umepepeta kwenda kwangu
na kulala kwa-anguu
umelewa na njia zangu
zote eh eh eh
×2
Eh Bwana umenichunguza
na kunijua
wewe wajua kuketi kwangu
na kuondoka kwangu
umefahamu doa langu



Credits
Writer(s): Jackson Mbao
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link