Litapita

Nimeona hofu imetanda dunia
Hofu imetanda dunia
Huku na huku mambo yamebadilika
Mambo ni tofauti
Tamaduni zetu si kama mwanzo
Si vile tulivyozoea
Aliye nacho analia
Asiye nacho pia analia
Tajiri, masikini tumwekuwa sawa
Si vile tulivyozoea

Hili nalo litapita eeh (ooh-oh)
Litapita eeh (eeh-eh)
Hili litapita eeh (oh-oh-ooh)
Utapambazuka (eh)
Ata hili litapita eeh (eeh-eh)
Litapita eeh (oh-oh)
Hili litapita eeh (woh-oh-ooh)
Asubuhi yaja

Hili nalo litapita eeh (eeh-eeh)
Litapita eeh (hili litapita tuu)
Hili litapita eeh (litapita tuu)
Utapambazuka
Ata hili litapita eeh (hili litapita tuu)
Litapita eeh (hili litapita tuu)
Hili litapita eeh (litapita)
Asubuhi yaja

No situation is permanent, eh
Nyakati huja na kupita
Watu huja na kuondoka
Kila kitu chini ya jua, kina mwisho
Shida na raha zina mwisho
Yesu pekee atabaki juu
Neno lake, milele yote
Yeye tuu, hana mwisho, oh-ooh

Hili nalo litapita eeh (litapita)
Litapita eeh (mambo litapita)
Hili litapita eeh (kila kitu kitapita)
Utapambazuka (Yesu pekee)
Ata hili litapita eeh (ata dumu milele)
Litapita eeh (litapita tuu)
Hili litapita eeh (baba litapita tuu)
Asubuhi yaja (Usikate tamaa)

Hili nalo litapita eeh (usivunjike moyo)
Litapita eeh (hili litapi tuu)
Hili litapita eeh (pita tuu, litapita tuu)
Utapambazuka
Ata hili litapita eeh (litapita)
Litapita eeh (hili litapita tuu)
Hili litapita eeh (oh, litapita tuu)
Asubuhi yaja

Hili nalo litapita eeh (eh-yeh)
Litapita eeh (kila kitu kitapita)
Hili litapita eeh (wazuri wanapita)
Utapambazuka (wa muzuri wanapita)
Ata hili litapita eeh (chida nazo zinapita)
Litapita eeh (eh, bina pita)
Hili litapita eeh (eh, litapita tuu)
Asubuhi yaja (yana pita tuu)



Credits
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link