Ushirika Na Wewe

Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)

Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe Roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)

Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)

Nimekubali habari hizi,
Ya kuwa wewe ni Mungu Roho,
Roho nataka ushirika nawe
Ulikuwepo tokea mwanzo,
Ulishiriki kuniumba Roho
Roho nataka ushirika nawe

Nakuhitaji maishani
Unihifadhi moyo wangu
Roho ee roho wee
Nataka ushirika nawe eeh

Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)

Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)

Wayachukua maombi wetu
Watuombea kwa kuugua Roho
Roho nataka ushirika nawe

Ukiwa nasi twatiwa nguvu
Twatenda kazi kwa ujasiri Roho
Ee Roho nataka ushirika nawe

Uyatawale maisha yangu
Sitaogopa ukiwa nami Roho
Eeh Roho eeh nataka ushirika nawe ee

Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)

Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)

Wewe Mungu uliye hai
Tena Roho wa kweli wewe kiongozi
Nataka ushirika nawe

Wewe mafuta ya shangwe
Tena harabuni yetu
Roho wa milele
Nataka ushirika nawe

Wewe Roho msaidizi
Tena mshauri wetu
Wewe kidole cha Mungu
Nataka ushirika nawe eeh

Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)

Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee.(Ewe roho)
Mimi nataka ushirika nawe ee (Roho)



Credits
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link