Nnabore

Mmh mh mmh...

Mbona tena sina thamani
Hutompata mwema Kama mimi
Ko swaga zangu tena hutamani
Inaonakana nakubore
Kila time minnabore,
Minnabore, minnnabore
Kila time we unaondoka
We ondoka, haina noma
Sina time, sina wasi
sina swaga we unago
Am not your type mi ni mshambaa

Yeah, nasisitiza usiende, mh
Kila time mimi na wewe, mh
I just want to get you back uwe na mimi
Nakumbuka ulifurahi ukiwa na mimi
Yeah, I want you even more
Na sikuizi sili no
Nakuwaza baby girl, (ooh, ooh, ooh-ooh)
I gave you lemonade
Na nguo za givenchy
I made you a london queen (ooh, ooh, ooh-ooh)

Mbona tena sina thamani
Hutompata mwema Kama mimi
Ko swaga zangu tena hutamani
Inaonakana nakubore
Kila time minnabore,
Minnabore, minnnabore
Kila time we unaondoka
We ondoka, haina noma
Sina time, sina wasi
Sina swaga we unago
Am not your type mi ni mshambaa

Yirl, now unang'aa
Baby unang'aa
Unapaka mascara baby unanang'aa
Kwenye chanel baby unang'aa
You on fashion,
I bought you chiron, babe
I bought you garage
I bought you a mansion
Ice, water, bling
Gucci, prada, chanel
'Venchy, fendi, celiné
Hermès, birkin, addidas (ooh, ooh, ooh-ooh)

Mbona tena sina thamani (sina thamani)
Hutompata mwema Kama mimi (kama mimi)
Ko swaga zangu tena hutamani
Inaonakana nakubore
Kila time minnabore,
Minnabore, minnnabore
Kila time we unaondoka
We ondoka, haina noma
Sina time, sina wasi (sina wasi)
Sina swaga we unago (yeah, yeah,yeah, yeah-eah)
Am not your type mi ni mshambaa (mi ni mshamba)



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link