Neenda Mwanagu
OOHOHOHooHHOOOOOOO
Mwananguuuuuu
Kuoelewa nishariaaa mwanangu
Nawe imekufikia mwananguu
Nendaa mwananguuuu
Aaaa eee
Siruhusa yangu mwananguu
bali nisheria toka kwa mungu mwananguu
kalinde heshima yangu mwanangu
kumbuka malezi yangu mwanangu
aaahaaa nenda mwananguu
aaaaaeeeeeee
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago eeh
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu somo yako
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu kungwi wako
Sendesokotela unyago
Si kama na lia mie
Nalilia furahaa mwanangu
Yoote niliyokufunza
Vyoote nilivyokulea
Kama nilivyolelewa mie
Mwanangu mwanangu
Nakutegemea wewe mwanangu
Neeenda mwanangu
Aaaaaheeeeee
Katunze heshima yangu
Na uso wangu mwananguu
Vyema nilivyokufunza mwanangu
Kampende mume wako mwanangu
Penda na ndugu zake jamani mwananguuu
Na kusiii mwanangu
Chai ya mumeo uipike wewe mwanangu
Jitahidi mwananguuu ohooo ohoo
Nendaa mwanangu
Aaaaheeeee
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago eeh
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu somo yako
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu kungwi wako
Sendesokotela unyago
Kuna hila mbaya mwanangu
Kwa mume ila usije ifanya iyoo
Kila siku kwa wazazi mwanangu
Si vyeema ivo mwanangu
Aaaaheeeee
Ila mwanangu hila mbaya
Mashoga kujua chumba chako mwanangu
Nakutoka bila kuaga mwanangu eeh
Usifanyee mwananguu
Neeenda mwanangu
Aaaaheeeee
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago eeh
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu somo yako
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu kungwi wako
Sendesokotela unyago
Mwanangu unisikieee
Upende wazazi wa mumee
Upende ndugu wa mumee
Ushauri pia ukubali mwanangu
Usiwe mjuaji mwanangu
Uko kuna wazazi wenzangu
Wanahitaji heshima kama yangu
Nakutegema wewee
Neenda mwananguu
Aaaheeeeee
Mwanangu mwanangu
Yoote uyakubalii mama
Kuolewaa nishariiaaaa
Kuzaaa kuzaaaa
Nimajaliwa mwanaaangu
Jitahidi kwa mumeo
Chunga heshima yako
Nakuomba mwanangu
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago eeh
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu somo yako
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu kungwi wako
Sendesokotela unyago
Mwaliona iloo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Utaliona iloo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Aaah waliona ilo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Mwaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Utaliona iloo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Aaah waliona ilo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Mwaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Utaliona iloo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Aaah waliona ilo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Mwaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Mwananguuuuuu
Kuoelewa nishariaaa mwanangu
Nawe imekufikia mwananguu
Nendaa mwananguuuu
Aaaa eee
Siruhusa yangu mwananguu
bali nisheria toka kwa mungu mwananguu
kalinde heshima yangu mwanangu
kumbuka malezi yangu mwanangu
aaahaaa nenda mwananguu
aaaaaeeeeeee
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago eeh
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu somo yako
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu kungwi wako
Sendesokotela unyago
Si kama na lia mie
Nalilia furahaa mwanangu
Yoote niliyokufunza
Vyoote nilivyokulea
Kama nilivyolelewa mie
Mwanangu mwanangu
Nakutegemea wewe mwanangu
Neeenda mwanangu
Aaaaaheeeeee
Katunze heshima yangu
Na uso wangu mwananguu
Vyema nilivyokufunza mwanangu
Kampende mume wako mwanangu
Penda na ndugu zake jamani mwananguuu
Na kusiii mwanangu
Chai ya mumeo uipike wewe mwanangu
Jitahidi mwananguuu ohooo ohoo
Nendaa mwanangu
Aaaaheeeee
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago eeh
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu somo yako
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu kungwi wako
Sendesokotela unyago
Kuna hila mbaya mwanangu
Kwa mume ila usije ifanya iyoo
Kila siku kwa wazazi mwanangu
Si vyeema ivo mwanangu
Aaaaheeeee
Ila mwanangu hila mbaya
Mashoga kujua chumba chako mwanangu
Nakutoka bila kuaga mwanangu eeh
Usifanyee mwananguu
Neeenda mwanangu
Aaaaheeeee
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago eeh
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu somo yako
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu kungwi wako
Sendesokotela unyago
Mwanangu unisikieee
Upende wazazi wa mumee
Upende ndugu wa mumee
Ushauri pia ukubali mwanangu
Usiwe mjuaji mwanangu
Uko kuna wazazi wenzangu
Wanahitaji heshima kama yangu
Nakutegema wewee
Neenda mwananguu
Aaaheeeeee
Mwanangu mwanangu
Yoote uyakubalii mama
Kuolewaa nishariiaaaa
Kuzaaa kuzaaaa
Nimajaliwa mwanaaangu
Jitahidi kwa mumeo
Chunga heshima yako
Nakuomba mwanangu
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago
Sendesokotela unyago eeh
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu somo yako
Sendesokotela unyago
Usimtie aibu kungwi wako
Sendesokotela unyago
Mwaliona iloo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Utaliona iloo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Aaah waliona ilo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Mwaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Utaliona iloo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Aaah waliona ilo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Mwaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Utaliona iloo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Aaah waliona ilo eeh
Mwalionaa ilo eeeh
Mwaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Utaliona joka likwerere
Credits
Writer(s): Omary Kopa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.