Don't Wanna Die
Jamii inalia...
Watoto wanalia
Vijana wanalia I dont wanna die
Please have mercy
Covid -19 world crisis, wondering where Christ is
The epi-crisis ina demand we come together as one
Ba ka lysis corruption ina dictate how our nations run
Uta kula aje ya donations bana, yes bana
All Kenyan lives matter, usha pata
Hii pesa uta wacha hapa hapa, no lie
Cheki Ugoro ya Tutankhamun pale pale
Mbona Kisum haiwezi raise ka Axum... na iko next na nile
Hizi line si sum
Just trying to elevate minds
Our land Our People ni wa excellent
But our excellences mna tuangusha
Eee Muesh
Long time no see, miaka ka tano hivi
Last time tuli onana, ili kua ndizi au machungwa
Na machungu na look back but na jua
Hai kua ku penda kwako ku promote ukabila
Na ku danganya vijana
Najua ili ku cost a lot
Jamii inalia
Watoto wanalia
Vijana wanalia I dont wanna die
Please have mercy
Pole jo wa lisema hauwezi enda hosi majuu
Itakua aje, PPE na dawa zote zi shauzwa
Siwezi imagine watoi hawa taenda ku further studies overseas
Wife hataki kuenda shopping westi, what the cheese
Ati ame zoea ku buy za Dubai? Kweli chips ni viazi
Jo, najua life yako ni hard
Niki ona uki lala works, na understand
Wana sema uko overpaid hawa oni uko na bills to pay
Open checkbook mbona usijilipe vile unataka
Carpark lazima ijae magari, hii si mug'unda
Hawa wezi understand lazima champagne ku help digestion
Bro mfalme alisema wajinga sisi, I agree you agree
Juu ya hızı degree tunarecycle the same
Ku expect different results ni pure madness
Umaskini inakupeleka rat-race yeah
Tapi toka furu
Jamii inalia
Watoto wanalia
Vijana wanalia I dont wanna die
I just wanna live

Credits
Writer(s): P-tah
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.