Oweoo

Yeah its your boy ina di place

Yeah kama Chichi Man
Mullah you can call me jungle man
Master plan i and i me de rasta man
Dancehall man nishamake mi naball man
Wagwan leta mchongo ili nisign
Here beer man piga tungi but we aint done
Sa skia man ikaja pisi inavutia man
Ask for a dance nipate burudan
Watch it here zungusha kiuno kama fan
Zile one two one two anavyokamatia chini
Akipeleka juu naumia roho yangu kwatu kwatu
Namove kinyatunyatu ile kifyatu fyatu naumia
Kisha nachange gear joto napepea kiuno kamatia
Chini naifata pia ruba nangangania amenidatisha malkia
Vumbi ntampakia na kasusu ntamnywea
Amini kwamba umenibamba ile kishamba mpaka lolo nairamba
Amini kwamba yeaah

Oooo ooooo napenda anavyocheza anatingisha makusudi oo girl
Oooo oooo huko nyuma ni lawama akitembea kama anarudi oo girl
Oooo oooo napenda anavyocheza anatingisha makusudi oo girl
Oooo oooo huko nyuma ni lawama akitembea kama anarud ooo

Kamatia juu kamatia chini
Mwendo huu sipigi puchu natia pini
Kisha namwaga mavisu boss wa madini
Offer kama bia buku bill nalipa mimi
Yeaah nabreak dance aseee mambo yangu pambee
Ukilewa pombee usilete kompee
Kompee Kompee akikata moto mpepeee pepee
Bugika bugika banjuka banjuka
Katika katika bambika bambika
Nyuma lawama yaani pa patashika
Vibration Margarita mpaka jogoo anawika
Amini kwamba umenibamba ile kishamba mpaka lolo nairamba
Amini kwamba yeaah

Oooo ooo napenda anavyocheza anatingisha makusudi oo girl
Oooo ooo huko nyuma ni lawama akitembea kama anarudi oo girl
Oooo ooo napenda anavyocheza anatingisha makusudi oo girl
Oooo ooo huko nyuma ni lawama akitembea kama anarudi ooo

Yeah man yo bwai Mullah ina di place
Ya already know mi do magic ina di Music
If ya hater gwe fa mi asa alone

Yeah cheza dior move dior dior
Cheza dior move dior dior
Leg work au malewa leg work ee leg work ee
Leg work au malewa ee leg work ee leg work ee
Kwichikwichi dance kwichikwichi eee
Kwichikwich dance kwichikwichi eee
Kwichikwich dance kwichikwichi eee
Kwichikwichi dance kwichikwichi eee
Cheza kama umelewa cheza mama mamaaa
Cheza kama umelewa cheza aiii aiii
Cheza kama umelewa cheza mama mamaa
Cheza kama umelewa cheza aii aii
Cheza kama mdundiko cheza mama mamaa
Cheza kama mdundiko cheza aii aii

Kimya Records



Credits
Writer(s): Mullah The Matrix, Rashid Abdallah Ally, Rashid Ally
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link