MAGGIE WA NYUMBANI

Ouu yeah yeah
Ouu yeah

Maggie wa nyumbani i could change your life
Nkuvishe pete yako aki you could be my wife
Maggie wa nyumbani we could be so nice
Ambia buda yako nmekushika kama vice

Uswe na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we jus crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole
Uswe na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we jus crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole

Mi staki stress za uduu yeah
Vile nawafunga macho it's just me and you yeah yeah
Washow kidole imma dance with you yeah
Auntie we ni hater so imma flex on you you you
Vile mbogi imefura utadhani kaimati
Zima hilo domo opinion yako haimati
We do things our way hatuskizangi ya umati
Zenyu hatufuati na bado hamtupati

Maggie wa nyumbani i could change your life
Nkuvishe pete yako aki you could be my wife
Maggie wa nyumbani we could be so nice
Ambia buda yako nmekushika kama vice

Uswe na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we jus crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole
Uswe na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we jus crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole

Maggie ni wa me sana
Hata mfanye bidii k'tenganishana apana
Hawezi kubali kunikana
Tumetoka nayeye mbali hatuogopi laana
Wanasema sana vijana wa jana
Tunapendana leo zaidi ata kuliko jana
Maggie wa maana pretty msichana
Hawapati usingizi mamii cheki
Vile mbogi imefura utadhani kaimati
Zima hilo domo opinion yako haimati
We do things our way hatuskizangi ya umati
Zenyu hatufuati na bado hamtupati

Maggie wa nyumbani i could change your life
Nkuvishe pete yako aki you could be my wife
Maggie wa nyumbani we could be so nice
Ambia buda yako nmekushika kama vice

Uswe na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we jus crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole
Uswe na hofu tutaenda pole pole
Mbio haina blessing baby we jus crawling
Auntie akihate mwambie akuwe mpole
Hatutawai fall waonyeshe tu kidole

Credits
Writer(s): Christopher Thande Githara
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link