Tatizo

aman lymo what app
sio kwamba mi nina wivu hivyo
Ila tatizo kwamba ulileta maringo
Ukashindwa geuza shingo
Sababu sikuwa na mingle

Ukanikana mbele ya wana ukaleta mazingzong
Kule, Kinondoni Moscow, life changamoto
Ghetto moja local, unadai ilivyo joto
Mapenzi kweli nyoso, ukaniacha kwenye msoto,msoto

Ukataka toka na vibopa (Masonko)
Nikakosa plan B mtoto wa ghetto
Ukanifanya mpaka nikaonekana mental
Pindi nadanda danda mambo hayajasettle

Si ulitaka taka mali
Na me enzi hizo sikuwa na hali
Ndo sababu haukuenda mbali
Na mi rudi na hizo mali

Si ulitaka taka mali
Ukaniona choka mbaya
So ukiniona mimi tena
Naomba ukae kae mbali

Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
Labda tatizo

Naskia stori kibao, mama walo kibao
Na wenye hela kibao
Sa mbona umeachana nao, hao walionizidi kete
Wamekuwacha mpweke tatizo we kicheche
Au ladha we umesahau

Nilivovisha kete naskia we ulicatch
Unataka tu mabeste haiwezekani eeh
Hatuwezi hata kumeet, unataka kurevenge
Hapana mama siwezi

Najua we una moyo pia we una nafsi
Ulinipenda ila ulishindwa tu kubaki
We una moyo pia we na nafsi
Mahitaji yako sikutimiza kwa wakati

Ulitaka taka mali
Na me enzi hizo sikuwa na hali
Ndo sababu haukuenda mbali
Na mi rudi na hizo mali

Ulitaka taka mali
Ukaniona choka mbaya
So ukiniona mimi tena
Naomba ukae kae mbali

Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
Labda tatizo

Mpya... mpya...
Ukurasa... mpya
Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
Labda tatizo



Credits
Writer(s): William Nicholaus Lyimo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link