Wema

Hallelujah hallelujah hallelujah
Wema wema wemaaaaa
Nilipotoka ni mbali sana mpaka leo nime fika hapaaa maisha yangu si shwari hiii maisha yangu una ya juwa babaaaa nilipo toka ni mbali sana mpaka leo nime fika hapaaaa maisha yangu sishwari hii maisha yangu una wa juwa babaaaa

Acha nitendee wemaa

Wewe ndiye babaaa unaye stahili kuabudiwa uwe wainuwa wanadamu kwa matendo yako God sifa zote ni zako wema wote eeeeeee
Ni wakoooo
Utuepushe babaaaa ndugu zangu tuwe na wema tuwe na wemaa eheee
Tenda wema usigoje shukrani tenda wemaaa maana mungu ata kuepusha namajaribu ya duniaaaa tenda wema tenda wema tenda wema tenda wemaaa
Tenda mema tenda wema
Acha nitende wemaaaa
Acha nitende wemaaaa
Wema wema wema
Wema wema wemaaa
Nikatende kwa marafikiii ata ndugu wahone wemaaa
Acha nitende wemaa .



Credits
Writer(s): Delphin Official
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link