Odi Love

Odi Love, odi love
Njoo nikupe odi love, odi love
Aaah Pozee, Klons leo uuh uh
(Teddy B)
Aah aah... leo uuh uh
Hii mapenzi ni tamu mama
Unanipendaje? (Aje)
Huwezi hata kata tamaa
Hata nikosee aje (Aje)
Oh yeah! Si baby umeshinda wote
Hutaniwacha hata nisote (Sote)
Sitakulinganisha na yeyote
Ah yote
Oh baby you're beautiful, one in a million
Wonderful, you tough like a lion
Nasema I can't do without you (You you you)
Ni kama umenipa majuju
Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng
Na maadui wakule mateke
Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng
Na maadui wakule mateke
Sasa njoo nikupe odi love
Odi love, odi love
Mapenzi yetu tu hii ndio
Odi love, odi love, odi love
Njoo nikupe odi love
Odi love, odi love
Njoo nikupe kupe odi love
Odi love, odi love
Njoo nikupe love ya ki ghetto youth njoo
Tutembee hata Saldido tule matumbo
Nitaishi nawe niwe grandfather
Niishi nawe niwe bigboy
Unavyosongesha girl unanimada
Niruhusu to your kingdom
My love, si mi niko na tattoo
Kwa mwili wangu umeandika "Baby I love you"
Ka love kameshika bila voodoo
Basi njoo nikumbate nipige busu
Msupuu unanichanganyisha roho
Na ninapokubusu unanichangamsha moyo
Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng
Na maadui wakule mateke
Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng
Na maadui wakule mateke
Sasa njoo nikupe odi love
Odi love, odi love
Mapenzi yetu tu hii ndio
Odi love, odi love, odi love
Njoo nikupe odi love
Odi love, odi love
Njoo nikupe kupe odi love
Odi love, odi love
Oya mama unanituliza
Nikianguka unaniokota
Na tena mama unanikumbusha
Hata iwe nini utanipendaga
I am nothing without you baby
And I can't do anything good
Without you baby
Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng
Na maadui wakule mateke
Twende home nikutekenye, sio tu pekejeng
Na maadui wakule mateke
Sasa njoo nikupe odi love
Odi love, odi love
Mapenzi ya toto hii ndio
Odi love, odi love, odi love
Njoo nikupe odi love
Odi love, odi love
Njoo nikupe kupe odi love
Odi love, odi love
Aah aah, aah aah...



Credits
Writer(s): Wilson Abubakar Radido
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link