Yuda

Kimambo on the Beat
Nimemnyosha wangu Yuda
Vyake vitamu 'najipakulia
Kungwi nimefundwa
Wake ma-ex nd'o wanaumia
Walisema limevunda
Sasa jikoni ndo' linanukia
Ye' nd'o wangu kiti
Tena hachoki nikimkalia

Na tena siku hizi nanenepa nanawiri
Yamenoga mapenzi na yameshamiri
A'nipa vinono na vikubwa tamu sio shubiri
Nyumbani kumenoga hunipoza mwili

Ananileta chumbani
Nikoleza wangu honey
Tunacheza kibaba, mama
Kibaba, mama
Wakienda vitani
Sisi tuko nyumbani
Ani-teach inama, inama
Inama, inama

Na ziwaume roho zao (kunituliza)
Na ziwaume roho zao (nafsi wamechunda)
Na ziwaume roho zao (itashindikana)
Na ziwaume roho zao

Kanipa sikio, ananisikiliza
Malumbano ndani hana
Nimepitisha fagio na hawezi kuniliza
Mashindano ndani hana
Nimefundishwa na mama, kumlea bwana
Akitaka nyama, nampaga na tena

Ananileta chumbani
Nikoleza wangu honey
Tunacheza kibaba, mama
Kibaba, mama
Wakienda vitani
Sisi tuko nyumbani
Ani-teach inama, inama
Inama, inama

Na ziwaume roho zao (kunituliza)
Na ziwaume roho zao (nafsi wamechunda)
Na ziwaume roho zao (itashindikana)
Na ziwaume roho zao



Credits
Writer(s): Faustina Mfinanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link