Salama

Salama, salama, niko salama na wewe
Salama nawe, salama nawe
Niko salama, salama, salama na wewe

Upendo kama wako, ijaona mie, sijaona mie
Na vile umenilinda, umenitunza mie
Nikianguka waniinua
Nikilemewa wanipa nguvu

Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu
Umeushika mkono wangu, ukayatatua matatizo yngu

Umeushika mkono wangu, sasa umekua tulizo langu

Salama, salama, niko salama na wewe
Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama

Nimejaribu (zote) mbinu zangu nikashindwa
Nikajitahidi, nikaambulia patupu
Imani yangu naweka kwako
Mlinzi wangu, vita ni vyako

Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu
Umeushika mkono wangu, ukayatatua matatizo yngu
Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu
Umeushika mkono wangu, sasa umekua tulizo langu

Salama, salama, niko salama na wewe
Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama
Salama, salama, niko salama na wewe
Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama

Umeahidi uko nami, huezi kuniacha
Wakati wa magumu, na pia raha
Tegemeo langu, mfariji wangu
Ni wewe pekee yako, u tulizo langu

Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu
Umeushika mkono wangu, ukayatatua matatizo yngu
Umeibeba mizigo yangu, ukayafuta machozi yangu
Umeushika mkono wangu, sasa umekua tulizo langu

Salama, salama, niko salama na wewe
Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama
Salama, salama, niko salama na wewe
Mikononi mwako niko salama, kwako niko salama

Credits
Writer(s): Nelly Tuikong
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link