Ndiyo Nifike

Naona wengi wamekwisha fika
Wako na nyumba, bibi na magari
Na mie mama eh sina kitu oh oh

Ingawa kazi nimefanya
Sina kitu ya kuonyesha
Mbona kazi ya mkono wangu haina thamani eh

Mimi si mbaya, siwezi kuua, sitaki kuiba mama
Lakini dunia wabaya wamefaulu

Nieleze mama nimekwisha potea
Ninafaa kufanya nini ndiyo nifike
Nimekwisha soma ya kutosha
Ninafaa kufanya nini ndiyo nifike
Kazi ninayo lakini pesa hakuna
Ninafaa kufanya nini ndiyo nifike
Sitaki kuiba
Ndiyo Nifike
Sitaki Kuua
Ndiyo Nifike
Sitaki kuuza roho yangu

Ninafaa kufanya nini ndiyo nifike
Nieleze oh, nielze oh
Ninafaa kufanya nini ndiyo nifike
Niambia mama, sielewi eh
Ninafaa kufanya nini ndiyo nifike



Credits
Writer(s): Shyam Shah
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link