Kwata

Rapakatasha rabaranakataa
Mi rababa apana kataa
Kwa kuroga me ndio ntakaa
Kama sadaka mi namkula ni swadakta
Kaptura nimekata ni chuma ana (Kwata)

Basi kamata
Banjuka we nani (kwata)
Ju tunafanya mamanzi wanatii (kwata)
Starter faster tamka indomie (kwata)
Timber kwa feet zi mpaka zii mpaka zii

Moyinga yinga
Ringa shavwa ringa
Under 18 zii zii zii
Me sidai dozing

Mbuzi ndio rende we leta beef ntakuchinja
Kejani me sijaikosa me king fisher
Lately im having a shawty now for dinner
Sister anadai nimchape ki onjiva

Jiji narun hii jiji
Dem wa ofisi na sipendi mafisi
Ka ni mstingy sidai hiyo ndizi
Fishy fisi kunyonga ndio tizi

Kame tuko sita
Nilichora sita akanipa tisa
Na una tools me nataka kupa kichwa
Lia lia lia tukiseti mbichwa

Rapakatasha rabaranakataa
Mi rababa apana kataa
Kwa kuroga me ndio ntakaa
Kama sadaka mi namkula ni swadakta
Kaptura nimekata ni chuma ana (Kwata)

Basi kamata
Banjuka we nani (kwata)
Ju tunafanya mamanzi wanatii (kwata)
Starter faster tamka indomie (kwata)
Timber kwa feet zi mpaka zii mpaka zii

Si utamu wa kuoga ni kutoa panty

Niliface joh ndio nikaita harry
Cham relax na sipendagi ma bunny
Nilimnyorosha dark skin nikatoa rangi

Niko na swali ushaipewa ukatetemeka miguu
Hii nidhafu nai divide by two
Nina bozaa sherehe ni full vaibuu
Si ni mbogi na rico akasahau utadoo

Kumbafu, ati dem alundwa kutoka kwa mbavu
Gumbaru, siku hizi nilisare za manyaru
Saru wa manyaru kibiriti kifaru
Washa ka lighter hiyo nyaru ni after

Dem yangu ye humoan but humaliza na laughter
Mi ni fire fighter heavy lakini lighter
Dark ninja lakini future ni brighter
Nasaka dem moja ametoka jujamaica

Rapakatasha rabaranakataa
Mi rababa apana kataa
Kwa kuroga me ndio ntakaa
Kama sadaka mi namkula ni swadakta

Kaptura nimekata ni chuma ana (Kwata)

Basi kamata
Banjuka we nani (kwata)
Ju tunafanya mamanzi wanatii (kwata)
Starter faster tamka indomie (kwata)
Timber kwa feet zi mpaka zii mpaka zii

Me hubambika na text kama
Uko nishafika
Nimevaa dress kunyesha ishaisha
Si unitoe stress

Rapakatasha rabaranakataa
Mi rababa apana kataa
Kwa kuroga me ndio ntakaa
Kama sadaka mi namkula ni swadakta
Kaptura nimekata ni chuma ana (Kwata)

Basi kamata
Banjuka we nani (kwata)
Ju tunafanya mamanzi wanatii (kwata)
Starter faster tamka indomie (kwata)

Timber kwa feet zi mpaka zii mpaka zii



Credits
Writer(s): Mike Makori, Moses Otieno, Joseph Getugi Nyamweya, Harry Otieno, Wilson Omondi, Grace Wanjiru
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link