Waridi

Big daddy
Uhhhhhh
(Unanikomesha)
Ni vampK
(Unanikomesha)
Lalalala laaa
254

Ukidunga kamini
Gunia Gauni ama Dera
Bado we ni mashini Yeiyeeeh
Sijui nikwanini
Nikikuona nahisi nginyera
Inakata maini
Wanashangaa ati Niko Boring
Na hauendagi kwao
Wanasambaza nyori
Na hatukulagi kwao
Bila chapaa hatuna ngori
Fiti zaidi yao
Hata tukiwa na njaa tunala story
Finger pande yao

Nitunze Kama mshumaa
Ama koroboi
Ndo nisipoe
Unipende Mimi. Mhhh
Kuna wengi shujaa
Wenye pesa na Mali doii
Wasikutoe
Unitende Mimi,

Wasikuvizie
Unikimbie mpenzi (Waridi)
Na huu unyonge wangu
Si nitanyong'onyea (Waridi)
Nivumilie
Nikuhudumie, babe (Waridi)
Hata ng'ombe
Za Nyanyangu ntakupea eeeeh
(Unanikomesha)
Nyumba magari
Havishindi thamani yako
(Unanikomesha)
Ntapeana vyote
Niwe nawe mababe boo
(Unanikomesha)
Sukari asali
Havishindi utamu wako
(Unanikomesha)
Naeza kula
Sembe kavu
Nikikutazama tuu
(Unanikomesha)
(Unanikomesha)

Kuja ghetoni tupike
Ukaange nikionja
Hadi kwa sufuria kaive, iyeeih
Kisha stima tuzime
Tukule mziki kwa nguvu
Mpaka majirani wakujee, iyeeeh
Ulivyojaah
Nika unakulaga ijumaa
Ukinishika moyo unashikwa
Na kaswende nazubaa
Unanifaa
Yaani mi ndo Giza we ndo taa Ninavyokupenda
Nikama nimekuzaa eeeh

Nitunze Kama mshumaa
Ama koroboi Ndo nisipoe
Unipende Mimi, Mhhh
Kuna wengi shujaa
Wenye pesa na Mali doi
Wasikutoe
Unitende Mimi,

Wasikuvizie
Unikimbie mpenzi (Waridi)
Na huu unyonge wangu
Si nitanyong'onyea (Waridi)
Nivumilie
Nikuhudumie, babe (Waridi)
Hata ng'ombe za Nyanyangu
Ntakupea eeeeh
(Unanikomesha)
Nyumba magari
Havishindi thamani yako
(Unanikomesha)
Ntapeana vyote
Niwe nawe mababe boo
(Unanikomesha)
Sukari asali
Havishindi utamu wako
(Unanikomesha)
Naeza kula sembe kavu
Nikikutazama tuu
(Unanikomesha)

(Unanikomesha)

(Unanikomesha)



Credits
Writer(s): Kelvin Leteipa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link