Boss Ofkos

Me ni bazu ata credentials zilichange
Na hatuko same me ni mspecial me ni gem
Sifiki na range na pull up na mbogi strange
Looku pia ni mbaya tuko dripping for days
Na ka we ni boss ofkos marashi ni hugo boss
Ndulla fila berret mbichi kama general
Ka we ni boss ofkos marashi ni hugo boss
Ndulla Fila berret mbichi kama general

Boss up boss up
Hii mwaka jo hio ndio lingo
Ganji kwa pori
Siezi sota nibaki zero
Mboka ya profit
Ndio nishindange bankiko
Nikikucheki na nisibonge jo sikupendi we ni mrazi
Revenue commerce
Hio ndio syllabus, ikus nawai bure ka msupa ni mgenerous
Murder kila track man I'm wavy siezi rust
Tenje pia iko silent siezi cheki ka una flash
Niko kila mahali on your faces kama mask
Chuo nilikua nakinda mashashola after class
Lakini bado Breeder after teo ni index one
Nowadays shillingi ndio hunifanya nigo nuts
Uh
TK
Leta zogo ka una guts na
Sitaki hype ju ni kitu haiwezi last
We ki roll na uki puff uki pass
Man a boss nina brief case ina cash

Me ni bazu ata credentials zilichange
Na hatuko same me ni mspecial me ni gem
Sifiki na range na pull up na mbogi strange
Looku pia ni mbaya tuko dripping for days
Na ka we ni boss ofkos marashi ni hugo boss
Ndulla Fila berret mbichi kama general
Ka we ni boss ofkos marashi ni hugo boss
Ndulla Fila berret mbichi kama general

Unaringa na ngeus anakaa semenya ukijidai we ndio Boss ay
Vile ukidinya huyu ngeus uligenya
Tukajua we ndio msoft ay
Vile me huchill na mangeus wa vitenge lakini wajui jollof,ay
Vile ulimi ilipatana na senye ukajua huyu madam alilost
Niliskia clue ni sos, ay
But huplay ma ngoks, ay
Tangu nichote tots ye hukua mtaani akidishi mamboga
Me nilishinda boss, ay
Mbona punani ni soft, ay
Mbona malaya hupeani kuma nadhani a like a boss ay

Me ni bazu ata credentials zilichange
Sifiki na range napull up na mbogi strange

Me ni bazu ata credentials zilichange
Na hatuko same me ni mspecial me ni gem
Sifiki na range na pull up na mbogi strange
Looku pia ni mbaya tuko dripping for days
Na ka we ni boss ofkos marashi ni hugo boss
Ndulla Fila, berret mbichi kama general
Ka we ni boss ofkos, marashi ni hugo boss
Ndulla Fila berret mbichi kama general



Credits
Writer(s): Paul Baraka Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link