Kwanini

Ah! Usinione nalia, moyoni naumia
Kila siku ma-ugomvi, unanukia ma-bia
Ina maana unataka useme huu moyo wangu hatambui
Thamani ya mapenzi ndo' imegeuka kuwa uadui

Nimekuimbia nyimbo bado, nkakupa moyo bado
Nikakupa life na true love, ila baby bado
Nimekuimbia nyimbo bado, nkakupa moyo bado
Nikakupa life na true love, ila baby bado

Ukose raha (raha)
Kisa (kisa), kupendwa nawe
Kwanini ukose raha? (Raha)
Kisa (kisa), kupendwa nawe
Kwanini ukose raha? (Raha)
Kisa (kisa), kupendwa nawe
Kwanini ukose raha? (Raha)
Kisa (kisa), kupendwa nawe

Nishachoshwa na haya mapenzi
Visa mara mia kwa mwezi
Mara leo limekwisha hili
Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena lingine
'Choshwa na haya mapenzi
Visa mara mia kwa mwezi
Leo limekwisha hili, kesho lingine eh!

You just don't know
Naumia, 'umia, 'umia, 'umia, 'umia, eh-eh!
You don't know
Naumia, 'umia, 'umia, 'umia, 'umia
Iye hiii

Kwanini ukose raha? (Ukose raha)
Kisa (kisa), kupendwa (ye-iye) nawe (nawe)
Kwanini ukose raha? (No, no, no, no!)
Kisa, kupendwa nawe (nawe)
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa (kupendwa) nawe (nawe)
Kwanini ukose raha?
Kisa (kisa), kupendwa nawe



Credits
Writer(s): Naseeb Abdul Juma Issack
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link