Chuki

Dalili ya mvua mawingu
Na mapenzi ni vita ndio nikuambie
Nilishapiga Na tunguli
Kusaka amani ya penzi langu ila haikupatikana
Najuwa ulinivisha Na kiremba cha ukoka
Nikiamini ni kata
Na unatambua haya mapenzi ni vita mazima ukakata na shina

Sitaki kuamini mapenzi upofu
Maana kwingine nitapenda
Japo na moyo uliupa makovu
Hadi na nuru ikazima
Sitaki kuamini upofu
Maana kwingine nitapenda
Iyeeee eeeh eeeh heee
Japo ulinipa makovu uuu uwo uwo oooh

Chuki chuki
Iyeiyeiye iyee eeeh uwo wouwo

Nimeyanawa kwa viganja vyangu viwili
Yote sawa
Siwezi ng'ang'ana na pendo uwouwooh
Unione chawa
Mapenzi wanashare sikuizi hakuna tena kupendana
Na hata ukikaza utalegeza aah
Na mwisho wa siku mtabwagana

Sitaki kuamini mapenzi upofu
Maana kwingine nitapenda
Japo na moyo uliupa makovu
Hadi na nuru ikazima
Sitaki kuamini upofu
Maana kwingine nitapenda
Iyeeee eeeh eeeh heee
Japo ulinipa makovu uuu uwo uwo oooh

Chuki
Kwakunidanganya wanipenda sana
Moyo ukaujenga
Chuki
Ukazichanganya hasi ikawa chanya
Moyo ukaujenga
Chuki
Ulonifanya niyachukie na mapenzi ni wewe eeh
Chuki
Oooh wewe ati wanipenda sana nipenda sana
Uwowouwo



Credits
Writer(s): Suleyman Gao
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link